Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mtihani mzito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya kipumbavu sana hiiChuki bonafsi
kwahiyo mtu mmoja mpuuzi akifanya madudu basi nchi nzima inakua failed state? Seriously?Tanzania a failed state.
She was definitely upande wa bwana na sio wa kakaNilitamani sana kujua hali ya Dada husika wakati wote wa hilo sakata.Je alibaki tu ameduwaa kama sanamu?Yeye alikuwa upande upi?
Kama ndivyo basi huyo Kaka ndio tatizo.She was definitely upande wa bwana na sio wa kaka
Ukiangalia vizuri video ni kama vile alikuwa anamziba kaka yake mdomo asijibizane na huyu mtu mwenye silahaNilitamani sana kujua hali ya Dada husika wakati wote wa hilo sakata.Je alibaki tu ameduwaa kama sanamu?Yeye alikuwa upande upi?
Na tatizo ni pale alipotaka kutumia nguvu kwa mtu ambaye hamjui. Hilo ni tatizo kubwa, huwezi kupambana na mtu usiyefahamu strength na weakness zake, pengine angejifanya mjinga huenda hayo yaliyomtokea yasingekuwepo. Anyway pole nyingi kwakePole Julian ,ukipona jifunze ngumi Kaka .
HAWAROGEKI????Maafisa wa usalama wa Taifa wa bongo wanajikuta wajaanja sana.
Siyo kosa la kwanza hilo, ni matukio mengi sana yanafanywa ndani ya nchi yetu thus why we say a failed StateKauli ya kipumbavu sana hii
kwahiyo mtu mmoja mpuuzi akifanya madudu basi nchi nzima inakua failed state? Seriously?
Huyo jamaa amelewaMbombo ngafu, ila vijana wa Dar laini sana, yaani huyo jamaa unampiga kumbo la horse power milioni Mia, mnaenda chini wote, halafu yanayofuata ni balaa tupu.
Ila huyo msaidizi wa rais mimi huwa namuangalia halafu simuamini