MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hakika Kaka ,lakini zaidi kwanini utake ugomvi sehemu uliyoenda kupata starehe?Na tatizo ni pale alipotaka kutumia nguvu kwa mtu ambaye hamjui. Hilo ni tatizo kubwa, huwezi kupambana na mtu usiyefahamu strength na weakness zake, pengine angejifanya mjinga huenda hayo yaliyomtokea yasingekuwepo. Anyway pole nyingi kwake
Mimi nikienda hata kwenye vilabu vya ulanzi ikiwa nitaona viashiria vya ngumi kuanza uwa najipinda chapu kwa haraka niko zangu nyumbani nimetulia.