DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Navyosikia huyo aliyefanya vurugu na kutoa silaha ni mfanyakazi wa TRA na ni kawaida yake kufanya vurugu, nachomshauri aliyejeruhuwa ukiachilia jinai ambayo ni kazi ya polisi ,aende mahakamani akafungue kesi ya na kudai fidia kwa kujeruhiwa na kudhalilishwa
Apeleke nakala kwa muajiri wake TRA pia ili aone aina ya wafanyakazi aliyokuwa nao
Mahakama hizi hizi alizozungumzia Tajiri Rostam Azizi au kuna zingine?
 
Ila Julian nae jau unaendaje klabu na dada ako. Ukenda na dada ako klabu lazima ukubali kuona akiwa anabambiwa, kushikwa tako na mengi ya ovyo.
Ni mpumbavu kwakweli...
Na usikute Dada alishafanikiwa connection, na bia kala. Fala anamzuia dada.

Ameipata haki yake.

Naona hapa dada alimshika koo asiendelee kuongea. Huenda alitoa matusi makali kwa huyo mwamba.
 
Ukiwa Club jiheshimu sana hasa dada zetu, haiwezekani huyo Derrick kuvamia meza ya kina Julian na kumtaka dada yake aondoke naye akapige hapana, kuna mambo yalifanyika background - yawezekana kasonda misosi na vinywaji vya ma laki afu kuondoka kwenda kukalia hataki- kaka mtu na yeye anaibuka kumsaidia dadake asiende wakati kashiba hela za wenyewe.

Sitetei huu ujinga ila dada zetu nao ndiyo vyanzo vya haya matukio.

Miaka ya nyuma kipindi ujana ndo upo moto niiishaenda club X nikiwa peke yang, kufika ndani pic ikanielewa - mwanaume nikaanza kumwaga misosi na vinywaji mziki na makiss kwa saana. Baada ya muda wakaja vijana wawili mbele ya yule demu wakaniambia wananipa dk 5 tu niwe nimepotea ndani ya ukumbi. Demu alipojaribu kunifuata exit door alipigwa kibao kitakatifu akaanguka chini - sikugeuka nyuma nikatokomea.
 
Kuna ngumi halafu kuna mguu wa kuku🤣 na bahati haukuwa na risasi ila jamaa alikuwa marehemu leo
Kaka kwa aina ya ngumi ninazozijua Mimi hasa nilizopitia mpaka kupata medali kadhaa ,Derick asingetumia hata dakika moja baada ya kunigusa kichwani Kama alivyomgusa Julian .

Yaani ningepiga mpaka bastola angesahau Kama iko kiunoni .

Sema ndiyo vile tena old is Gold Sasa nguvu hizo Sina Tena nimekuwa mnyonge Sana kuona huyu bwana Julian anapigwa Kama mtoto mbaya zaidi mbele ya dada yake
 
Mjomba unaijua bastola au unaisikia tu. Kuna mwamba naona alitaka kuingilia hapo akaonyeshewa chuma naona akarud fasta na kuna dada hapo alikadhalika kuonyeshwa chuma tu kakimbia mwendo wa ngiri hapo.
Inasikitisha saana , kama ambao ndiyo wenye dhamana ya kulinda usalama Wanaharibu Amani. Basi kama Taifa tuko Hali mbaya sana.
 
Ukiwa Club jiheshimu sana hasa dada zetu, haiwezekani huyo Derrick kuvamia meza ya kina Julian na kumtaka dada yake aondoke naye akapige hapana, kuna mambo yalifanyika background - yawezekana kasonda misosi na vinywaji vya ma laki afu kuondoka kwenda kukalia hataki- kaka mtu na yeye anaibuka kumsaidia dadake asiende wakati kashiba hela za wenyewe.

Sitetei huu ujinga ila dada zetu nao ndiyo vyanzo vya haya matukio.

Miaka ya nyuma kipindi ujana ndo upo moto niiishaenda ckub X nikiwa peke yang, kufika ndani pic ikanielewa - mwanaume nikaanza kumwaga misosi na vinywaji mziki na makiss kwa saana. Baada ya muda wakaja vijana wawili mbele ya yule demu wakaniambia wananipa dk 5 tu niwe nimepotea ndani ya ukumbi. Demu alipojaribu kunifuata exit door alipigwa kibao kitakatifu akaanguka chini - sikugeuka nyuma nikatokomea.
Dah aisee ,bro unatokea mkoa gani rafiki ?
Nilichofurahia nikuwa unayajua matumizi sahihi ya miguu yako
 
Kaka kwa aina ya ngumi ninazozijua Mimi hasa nilizopitia mpaka kupata medali kadhaa ,Derick asingetumia hata dakika moja baada ya kunigusa kichwani Kama alivyomgusa Julian .

Yaani ningepiga mpaka bastola angesahau Kama iko kiunoni .

Sema ndiyo vile tena old is Gold Sasa nguvu hizo Sina Tena nimekuwa mnyonge Sana kuona huyu bwana Julian anapigwa Kama mtoto mbaya zaidi mbele ya dada yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hata ivo Derick alikuwa kivolva. Tungi limefika level 90% hapo alikuwa anaenda kulala tu.
 
Back
Top Bottom