Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wote hapo wamelewa, wanywa pombe tunajielewa; kinachoonekana hicho kiwanja hakina walinzi wakutosha ambao kazi yao ni kuangalia usalama wa wanywa pombe wote.
Kwa ujumla hicho kiwanja si salama, kama mtu anapigwa pale na wao hakuna ata mlinzi au ata baunsa mmoja kwenda kusuluhisha, kuna tatizo.
Kutokana na pombe, wote wako kwenye tatizo la magonjwa ya akili; kinachotakiwa kufanyika ni mtuhumiwa kulipa fidia na fedheha alizomfanyia muhusika.
Kumiliki silaa ni kitu cha kawaida, ila kutembea na silaa eneo la starehe pia ni tatizo; kwa kawaida huwa kuna kukaguliwa na kifaa maalumu uingiapo eneo la namna hilo, vinginevyo labda iwe ni club ndogo; lakini mmiliki alitakiwa kuweka huo mfumo.