DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kibatala aitaka hii case kwa hudi na uvumba.
IMG_8106.jpeg
 
Mimi ni mtumishi lakini siku moja nilikuwa na kiu na samaki na juice nikaingia Bar/Club kula na kunywa cha ajabu pale kuna metal detector na unakaguliwa hakuna kuingia na pistol wala kisu na ni kijijinj maana matukio kama hayo yamewahi kutokea.
Sasa dar salamu watu wanajiishia kama somalia.

Afisa anatakiwa ajue ngumi, bastola hadi huyo mpinzani awe agressive atishie uhai wake au wa jirani yake. Afisa ameniangusha sana. I 😆😆
Hii kauli ya kusema Tanzania ni nchi ya amani ndio inatulemeza tunajisahau sana.
 
Wanawake wawili wamepigani mmoja ana bastola hakuna mwanaume anapigwa kiboya hivyo nina wasiwasi na yawa viumbe.
Unaweza kumvimbia Mtu mwenye Bastola ambaye ameshajizatiti kuachia risasi?

Hata wewe utakuwa ni Mbumbumbu usiye na akili.

Hata makomando wakikamatwa na maadui zao siraha zimeshaisha unanyosha mikono juu ili angalau uokoe uhai kwanza mengine baadae.

Alichofanya bro ndio kinafanywa na mashujaa wote duniani. Uhai kwanza
 
Ukiwa Club jiheshimu sana hasa dada zetu, haiwezekani huyo Derrick kuvamia meza ya kina Julian na kumtaka dada yake aondoke naye akapige hapana, kuna mambo yalifanyika background - yawezekana kasonda misosi na vinywaji vya ma laki afu kuondoka kwenda kukalia hataki- kaka mtu na yeye anaibuka kumsaidia dadake asiende wakati kashiba hela za wenyewe.

Sitetei huu ujinga ila dada zetu nao ndiyo vyanzo vya haya matukio.

Miaka ya nyuma kipindi ujana ndo upo moto niiishaenda ckub X nikiwa peke yang, kufika ndani pic ikanielewa - mwanaume nikaanza kumwaga misosi na vinywaji mziki na makiss kwa saana. Baada ya muda wakaja vijana wawili mbele ya yule demu wakaniambia wananipa dk 5 tu niwe nimepotea ndani ya ukumbi. Demu alipojaribu kunifuata exit door alipigwa kibao kitakatifu akaanguka chini - sikugeuka nyuma nikatokomea.
Eeh hata jiwe hukurusha ukakimbia masikini...
 
Unaweza kumvimbia Mtu mwenye Bastola ambaye ameshajizatiti kuachia risasi?

Hata wewe utakuwa ni Mbumbumbu usiye na akili.

Hata makomando wakikamatwa na maadui zao siraha zimeshaisha unanyosha mikono juu ili angalau uokoe uhai kwanza mengine baadae.

Alichofanya bro ndio kinafanywa na mashujaa wote duniani. Uhai kwanza
Usintishe kwa distance gani pale ishindwe kukwapuliwa.Nyamaza kabisaaaa.
 
Wabongo nyie sijui mkoje. Husu stokeholm, mtu unatoka zako kazini unarudi straight nyumbani. Ikitokea unaenda kulewa clubs na bar zote kuna metal detectors hauingii na silaha yoyote na pia kuna security ya hali ya juu sana wale security guards tu ukiwaona unaogopa. Starehe yangu weekend ni kutembea usiku na mbwa wangu, narudi kulala.
Acheni starehe za kulewa mapombe watu wazima over 30 years bado mnaenda club. Shame on you to the moon and back.
Ni mafukara tu..ukiona unalewa pombe jua bado una ufukara na club zenyewe za kimaskin tu watu wanaenda kutambishiana bastola[emoji706]
 
Back
Top Bottom