DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa Tz hakuna kesi hapo. Julian yeye ashukuru Mungu apone aendelee na maisha yake tu.

Tena akipona aende hata nje maana utekaji uko hatarini juu yake.
Kabisa aisee, akipona ahamie hata Makete ndani ndani huko asibishane, sometimes ni bora kukaa kimya uendelee na maisha yako, na amuombe sana Mungu Wake chuma haikuwa na risasi, aombe sana aisee
 
Nashangaa japo sijasikia walichokuwa wanaongea. Ni MTU wa usalama kweli wakati anaonekana hawezi ku-handle mazingira ya stress ndogo kiasi hiki?
Nimeshangaa sana how he is easily provoked kiasi hiki.

Ndio maana nasema siku zote vyombo vya Kenya vina utimamu na ustahimilivu( emotional stability) ya hali ya juu sana ktk Bara la Afrika.
 
Hapo ni nje, chini kwenye ngazi lazima ingechukua dadika kadhaa walinzi kufika.

Kikawaida 12 ni kiwanja cha amani, ajabu huyu Derrick guy alipotokea na fujo zake (ushamba)
Kulimaliza hili kunatakiwa busara itumike, waombane msamaha na kulipana fidia; kisheria hao wote kwa kuwa wamekunywa pombe na wapo mazingira ya pombe, watatambulika walikuwa na magonjwa ya akili.
 
Back
Top Bottom