DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii ndiyo Tanzania, ambayo CCM inaitaka. Kuteka, kuua, kutesa, na wenye cheo kuishi juu ya Sheria.

Kibaya zaidi majitu yapo hapo yanashuhudia kabsa ndugu yao anapigwa kiasi hicho.

Aisee... Inasikitisha saana.
Nafkiri ile kutoa bastola ndio imewatisha watu wakashindwa hata kusogea. Hiko chuma kinatisha kiskie tu kwa tu ila usiombe ukakishuhudia.
 
Haki ni za binadamu, sio za walio sober tu hata walevi nao ni watu.
sasa hapo nani ndie atetewe kwasababu ya ulevi wao?

jamaa kapigwa kelepu, akajidai kurusha ngumi ikakwepwa, akapigwa mtama ambao hatakuja kusahau maishani mwake, jamaa mpaka kashindwa hata kuamka, naona alishiba pombe vizuri sana 🤣

Ilionekana tangu mwanzo kwamba pombe zimeshamfanya yake maana hata miguu tu hakuweza kuisogeza tangu alipokua amesimama na glass ya pombe mkononi.

kwani nyinyi watetezi wa haki za binadamu mnalizungimziaje hili la walevi kupigana hadharani?ICC wamearifiwa kuhusu hilo?🐒
 
Mbombo ngafu, ila vijana wa Dar laini sana, yaani huyo jamaa unampiga kumbo la horse power milioni Mia, mnaenda chini wote, halafu yanayofuata ni balaa tupu.

Ila huyo msaidizi wa rais mimi huwa namuangalia halafu simuamini
Huyo jamaa nae dhaifu sana,sijui sababu ya pombe,mimi nadhani ningemuua yeye na bastola yake
 
Black belt ya huko Okinawa ,haiwezi kulingana na black belt ya mtaa wa keko Kaka Tena chini ya mwalimu tukuka komando Matumula ,aisee naweza kuuwa sema Sasa utu uzima nimetulia na ulanzi ushalegeza maguvu yangu ila ingekuwa miaka hiyo angeombwa pambano ili nimuoneshe nguvu ya elimu ya mtaa hasa kwenye ngumi
Napenda sana kujifunza ndondi za kulipwa
Yaani ni kitu nina passion nacho
Ila ndo umri ushaenda
 
sasa hapo nani ndie atetewe kwasababu ya ulevi wao?

jamaa kapigwa kelepu, akajidai kurusha ngumi ikakwepwa, akapigwa mtama ambao hatakuja kusahau maishani mwake, jamaa mpaka kashindwa hata kuamka, naona alishiba pombe vizuri sana 🤣

Ilionekana tangu mwanzo kwamba pombe zimeshamfanya yake maana hata miguu tu hakuweza kuisogeza tangu alipokua amesimama na glass ya pombe mkononi.

kwani nyinyi watetezi wa haki za binadamu mnalizungimziaje hili la walevi kupigana hadharani?ICC wamearifiwa kuhusu hilo?🐒
Huyo Derick kakutana na mrembo😆 kanuni yangu huwa siruhusu kunywa mpaka nipoteze balance au utambuzi.

Kimsingi pombe huwa ina boost confidence kidogo huyo fala lazma ningempa chai pamoja na kibastola chake uchwara.
 
Rogeni mbwa na mwenye mbwa.
Ungese haukubaliki kwa namna yeyote.
Kama mtu mnyonge hauna konekshen na ikulu sjui, hauna bastola, dawa ni kuroga tu mamaeh, huyo unamfungia safari, chukua jina lake tu, waganga wa uhakika 30 mamaeh, waganga wale wa kutoa roho wale, tuone kama atatoboa hata mwezi tu mamaeh. .wiki tu mtu anaanza kuvimba tumbo, kidonda kikubwa kinachooza kwenye ulimi, anajinyea na kujikojolea
 
Back
Top Bottom