DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mjomba unaijua bastola au unaisikia tu. Kuna mwamba naona alitaka kuingilia hapo akaonyeshewa chuma naona akarud fasta na kuna dada hapo alikadhalika kuonyeshwa chuma tu kakimbia mwendo wa ngiri hapo.
Ile kitu ni ya kukaa nayo mbali. Ikibweka tu hutoulizwa unakula saa ngapi tutajiuliza marehemu anazikwa lini! Fa mchezo nini
 
hakuna kesi hapo huyo Derrick atatoka na ataendelea na maisha yake,nchi hii sahv ilipokuwa iko vagarant

ova

Mwenzako Derick yuko Osterbay Police, sema hakuna case na kashikiliwa hapo bado

Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi.

Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima mwenye namba za simu 0738133331 alianzisha fujo na kujaribu kumpiga risasi Julian Bujulu baada ya kutokea sintofahamu kati ya Derick na Julian iliyosababishwa na Derick kujaribu kulazimisha kuondoka na mwanamke aliekuwa ameenda kustarehe katika Club hiyo akiambatana na Julian. Taarifa zinaeleza zaidi kwamba Derick ni mtu mwenye mke na watoto na kwamba mwanamke anayehusishwa na ugomvi huo ni Dada yake Julian ambapo walikuwa wametoka pamoja kwenda kwenye starehe.

Kwa mujibu wa mashuhuda, ghasia zilianza baada ya Derick kutaka kuondoka na mwanamke huyo kwa nguvu bila kujali yupo na kina nani, jambo lililopelekea Kaka mtu kuingilia kati akizuia Dada yake kuondoka na Derick. Mzozo huo ulipopamba moto, Derick alitoa bastola akiwa na lengo la kumpiga risasi Julian lakini kwa bahati nzuri, bastola ya Derick iligoma kutoa risasi. Baada ya kushindwa kupiga risasi, kwa hasira Derick aliamua kumpiga Julian kichwani kwa kutumia kitako cha bunduki hiyo na kumsababishia majeraha makubwa.

Kamera za CCTV katika klabu hiyo zimenasa tukio zima jinsi Derick alivyotenda na kusababisha majeruhi makubwa kichwani yaliyopelekea kuwahishwa hospitali na baadae kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili ambapo amelazwa kwa matibabu zaidi.

Mpaka wakati huu, Derick Lima anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay huku uchunguzi ukiendelea. Kuna wasiwasi mkubwa kwamba haki haitatendeka kutokana na uhusiano wake wa karibu na wakubwa. Mpaka sasa kuna baadhi ya “Matajiri” wa mjini ambao wamekuwa wakimtumia Derick katika kukwepa kodi na kutekeleza mambo yao haramu wamekuwa wanaendelea na jitihada kuhakikisha anatoka mikononi mwa polisi bila kuwa na kesi.

Polisi wamechukua mashine za CCTV katika Club hiyo na katika kuhakikisha mmiliki wa Club hiyo anaminywa na asitoe ushirikiano, wameachia makusudi video inayomuonyesha mmiliki huyo akifanya mapenzi na mmoja wa aliekuwa mfanyakazi wake katika moja ya ofisi za Club hiyo.

UPDATE: Polisi wamemkamata Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Imekaa vibaya...hii haijatulia
 
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi.

Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu kama Chief Abayomi) mwenye namba za simu 0738133331 alianzisha fujo na kujaribu kumpiga risasi Julian Bujulu baada ya kutokea sintofahamu kati ya Derick na Julian iliyosababishwa na Derick kujaribu kulazimisha kuondoka na mwanamke aliekuwa ameenda kustarehe katika Club hiyo akiambatana na Julian. Taarifa zinaeleza zaidi kwamba Derick ni mtu mwenye mke na watoto na kwamba mwanamke anayehusishwa na ugomvi huo ni Dada yake Julian ambapo walikuwa wametoka pamoja kwenda kwenye starehe.

Kwa mujibu wa mashuhuda, ghasia zilianza baada ya Derick kutaka kuondoka na mwanamke huyo kwa nguvu bila kujali yupo na kina nani, jambo lililopelekea Kaka mtu kuingilia kati akizuia Dada yake kuondoka na Derick. Mzozo huo ulipopamba moto, Derick alitoa bastola akiwa na lengo la kumpiga risasi Julian lakini kwa bahati nzuri, bastola ya Derick iligoma kutoa risasi. Baada ya kushindwa kupiga risasi, kwa hasira Derick aliamua kumpiga Julian kichwani kwa kutumia kitako cha bunduki hiyo na kumsababishia majeraha makubwa.

Kamera za CCTV katika klabu hiyo zimenasa tukio zima jinsi Derick alivyotenda na kusababisha majeruhi makubwa kichwani yaliyopelekea kuwahishwa hospitali na baadae kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili ambapo amelazwa kwa matibabu zaidi.

Mpaka wakati huu, Derick Lima anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay huku uchunguzi ukiendelea. Kuna wasiwasi mkubwa kwamba haki haitatendeka kutokana na uhusiano wake wa karibu na wakubwa. Mpaka sasa kuna baadhi ya “Matajiri” wa mjini ambao wamekuwa wakimtumia Derick katika kukwepa kodi na kutekeleza mambo yao haramu wamekuwa wanaendelea na jitihada kuhakikisha anatoka mikononi mwa polisi bila kuwa na kesi.

Polisi wamechukua mashine za CCTV katika Club hiyo na katika kuhakikisha mmiliki wa Club hiyo anaminywa na asitoe ushirikiano, wameachia makusudi video inayomuonyesha mmiliki huyo akifanya mapenzi na mmoja wa aliekuwa mfanyakazi wake katika moja ya ofisi za Club hiyo.

UPDATE: Polisi wamemkamata Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Jamaa fala kweli yani zama hizi unagombania utelezi tena club na usikute lina familia, alafu et n TISS💩💩
 
Huyo Derick kakutana na mrembo😆 kanuni yangu huwa siruhusu kunywa mpaka nipoteze balance au utambuzi.

Kimsingi pombe huwa ina boost confidence kidogo huyo fala lazma ningempa chai pamoja na kibastola chake uchwara.
kwahiyo tuhitimishe tu kwa kusema kwamba kaka wa mrembo aliepata kipigo cha mbwa koko hakuzingatia kanuni za ulevi na alisahau kabisa kwamba unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya ya akili na utimamu wa mwili..

Inafaa siku zingine akiwa nzwii,
ni afadhalli awe anapiga biti tu kwa kurusha mikono na kujipiga kifua kwamba wewe huwezi kuifanya kitu, huku akitokomea kwa kufokafoka na kuondoka kabisa kwenye eneo la tukio. Vinginevyo yajayo yanasikitisha zaidi 🐒
 
Maafisa wa usalama wa Taifa wa bongo wanajikuta wajaanja sana.
Siku huwa tunasema hicho kitengo kimejaa watu washamba, malimbukeni
Sasa unapoamua kufanya kitendo kama hicho na kutowa bomba mbele ya watu wanauna hiyo ni akili au matope au ndivyo wanavyofundishwa huko
Hata kama huyo dem alimlia hela baada ya kumtongoza ilikuwa hakuna haja ya kufanya hivyo mbele za watu

Ova
 
kwahiyo tuhitimishe tu kwa kusema kwamba kaka wa mrembo aliepata kipigo cha mbwa koko hakuzingatia kanuni za ulevi na alisahau kabisa kwamba unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya ya akili na utimamu wa mwili..

Inafaa siku zingine akiwa nzwii,
ni afadhalli awe anabiga biti tu kwa kurusha mikono na kujipiga kifua kwamba wewe huwezi kuifanya kitu, huku akitokomea na kuondoka kabisa kwenye eneo la tukio. Vinginevyo yajayo yanasikitisha zaidi 🐒
Wote hapo ni wapumbv tu
Hata huyo mtu sjui wa kitengo naye ni mpmbv
Unagombania mwanamke club

Ova
 
Aisee! Kuna aina ya watu hutakiwi hata uji associate nao na kuna club siendi, call me old school but wacha tu baadhi ya vitu vinipite.

Alafu wakinadada sisi nao kuna saa tuko cheap 🙄 Yani nkiangalia hapo hao wanaofanya wakaka watoane damu na huyo aliyeinamishwa hapo on the other video nikiwacombine wote sijui kama hata 5M kwnye account wanazo lakini ndio wamejiassociate na watu wa ovyo hivyo 😔

Mungu atusaidie tu kwakweli
Mkuu kwa lugha nyingine dau lako linaanzia 5m kwenda juu vijana tujaribu kujipiga piga

Joking
 
Jamaa sidhani kama alikuwa na nia ya kumpiga chuma maana kama ingekuwa aipo ktk safe basi chuma ingechomoka, ni hakutoasafè aliikokisha tu kimbwembwe ,au pengine hakuwa anajuwa kutumia silaha
 
Back
Top Bottom