DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na hapo angeifyatua humo ndani
Watu wangetafutana....usicheze na risasi 😄

Ova
Sio angefyatua, ingefyatuka! Mana Jamaa Mungu amempigania Kwa kiwango Cha juu sana! Itakua ilimwagikiwa K, vant iliyompandisha nyege akaona njia rahisi ya kuondoka na demu ni kutoa gun na kumterminate mtu! Malezi ni changamoto sana! From the movie to the Field!
 
Ilitakiwa raia wamchakaze achakae! Kuna kazi ukifanya unamaintain status yako muda wote to earn respect! Pombe na zinaa imewaangusha wengi! Madaraka na fedha imewangamiza wengi!
 
Fala sana huyo,silaha itumie kwa kujilinda,ukivamiwa nk
Sasa anaenda kugombania k
Wamiliki wengi wenye silaha mafala tu na waoga

Ova
 
Hahahah hakujua ipo siku michezo yake itaonekana live bila chenga kwa watanzania😆 sema kikubwa amegonga pisi kali ya kimanga
By the way recognition imekua ngumu! Na askari wapuuzi walitaka shift of paradigm Ili kwamba kama alivyosema yule mama kule Dodoma kwamba hiyo baa ni ya wahuni tu, waanze kusaka manager kwa kupiga Tako ofisini! Bahati mbaya imeshidikana
 
Huyo Derrick huyo. Sema alikutana na mlevi. Angejua hajui.
hayo mazingira mbona yanaonyesha palikuwa na uwezekano anyang'anywe pisto, imagine mtu angekuwa nyuma yake hapo akamtandika mkono idondoke au akampa ngumi ya shingo kuokoa maisha ya huyo jamaa. wabongo akiwa na silaha huwa anaamini yeye tu ndio anayo. nenda nchi kama south, wewe unayo ila masela waliokuzunguka kama 5 hivi kila mtu ana ya kwake.
 
Silaha shika hivo kwa mtu asiyeifahamu vyema vinginevyo utashangazwa.
Mtu kalegea na inaonekana ukipora chuma aje kwenye 6 quarters ni kolo.
 
of course yule usalama alivyopiga zile ngumi, utafikiri ni mwanamke, anapiga ngumi kama makonzi na anarusha mikono. hawa watoto wa geti kali tuwe tunawapeleka walau kwa bibi kijijini wakabebe kuni. si wanasema babake alikuwa naibi gavana BOT.
 
I wish one day a nigga would…..

Yaani uninyooshee bastola yako halafu risasi zigome kufyatuka halafu nikuache tu urudi kwa mkeo bila hata nundu?

If I were Julian I would beat the shit out of him.
Julian was already shit🤣!!! Ila ingemkuta mtoto wa mmbwa hio huyo fala angeita maji mma🤣! Yani unapiga kama unaua nyoka vile!

Ukitoka hapo ni kiatu wala hupoi street. Kodi hata boda boda unachanja nayo mbuga mkoa.
 
Scenario unayoongelea ni ya matukio kama ya ujambazi. Ila kwa hili tukio hapana. Kama unaweza pambana pambana. Mabina mbona wananchi walimuua na bastola yake, yes aliuwa mmojawapo ila naye alikufa. Usitishe watu wewe. Kwani ana bastola isiyoishiwa risasi? Mbona kuna wengine washakula makofi na bastola zao kwenye mabaa? Haikupi uungu inakupa tuu advantage ya muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…