Nimeiangalia hiyo video!
Huyo fala mwenye bastola ana bahati sana.
Walahi ingekuwa ni mimi, baada ya kugundua bastola yake haifyatui risasi, I would have beat the snot out of him.
No one, and I mean no one, would hit me like that and not expect punches, kicks, elbows, and everything else coming his way.
Watu ni waoga sana aisee.
But I get it, not everyone is wired to fight.
Na ni bahati mbaya sana uonevu kama huo huwa unawapata watu ambao hawana ari ya kujilinda.
Huwezi kunifanyia hivyo halafu nikuache tu. Every time I see you it’s gonna be on-site.