Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani amepigwa kizembe sanaTena baada ya kugundua bastola yake haifyatui risasi!!
WTF!
Anyway, we are all wired differently.
Kama hao madada poa wa kichina? Au siyo?Crap
Ukondoo tu.Ivi fact gani imetumika kumuhisi bwana junior ni TISS 🤔🤔
Acheni kudanganyana, nimeona komenti nyingi watu humu wakitamba kuwa wangekuwa wao wangemdhibiti huyo jamaa aliyejihami na silaha ( bastola) wangemdhibiti kwa mapigo ya ngumi.Huyo mshammba aliyetamba na hiyo bastola mwambieni asirudie tena ulimbukeni wake huo
Angekutana na mimi ningemuua anayo bahati kukutana na huyo aliyekutwa naye
Naona siku izi imekua fashion, kitu kikitokea kibaya lazima TISS itajweUkondoo tu.
Khe! Hivi kumbe kuna watu wako serious na wanawake kiasi hiki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi.
Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu kama Chief Abayomi) alianzisha fujo na kujaribu kumpiga risasi Julian Bujulu baada ya kutokea sintofahamu kati ya Derick na Julian iliyosababishwa na Derick kujaribu kulazimisha kuondoka na mwanamke aliekuwa ameenda kustarehe katika Club hiyo akiambatana na Julian.
Taarifa zinaeleza zaidi kwamba Derick ni mtu mwenye mke na watoto na kwamba mwanamke anayehusishwa na ugomvi huo ni Dada yake Julian ambapo walikuwa wametoka pamoja kwenda kwenye starehe.
Kwa mujibu wa mashuhuda, ghasia zilianza baada ya Derick kutaka kuondoka na mwanamke huyo kwa nguvu bila kujali yupo na kina nani, jambo lililopelekea Kaka mtu kuingilia kati akizuia Dada yake kuondoka na Derick. Mzozo huo ulipopamba moto, Derick alitoa bastola akiwa na lengo la kumpiga risasi Julian lakini kwa bahati nzuri, bastola ya Derick iligoma kutoa risasi. Baada ya kushindwa kupiga risasi, kwa hasira Derick aliamua kumpiga Julian kichwani kwa kutumia kitako cha bunduki hiyo na kumsababishia majeraha makubwa.
Kamera za CCTV katika klabu hiyo zimenasa tukio zima jinsi Derick alivyotenda na kusababisha majeruhi makubwa kichwani yaliyopelekea kuwahishwa hospitali na baadae kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili ambapo amelazwa kwa matibabu zaidi.
Mpaka wakati huu, Derick Lima anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay huku uchunguzi ukiendelea. Kuna wasiwasi mkubwa kwamba haki haitatendeka kutokana na uhusiano wake wa karibu na wakubwa. Mpaka sasa kuna baadhi ya “Matajiri” wa mjini ambao wamekuwa wakimtumia Derick katika kukwepa kodi na kutekeleza mambo yao haramu wamekuwa wanaendelea na jitihada kuhakikisha anatoka mikononi mwa polisi bila kuwa na kesi.
Polisi wamechukua mashine za CCTV katika Club hiyo na katika kuhakikisha mmiliki wa Club hiyo anaminywa na asitoe ushirikiano, wameachia makusudi video inayomuonyesha mmiliki huyo akifanya mapenzi na mmoja wa aliekuwa mfanyakazi wake katika moja ya ofisi za Club hiyo.
UPDATE: Polisi wamemkamata Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Badala ya kutamba na kunuia kuhitaji kukutana na watu wa namna Ile, omba MUNGU usikutane nao.Huyo mshammba aliyetamba na hiyo bastola mwambieni asirudie tena ulimbukeni wake huo
Angekutana na mimi ningemuua anayo bahati kukutana na huyo aliyekutwa naye
Umemsikia Top afande wa Dar, nimejifunza kitu!Halafu kuna yule mbwa Tlaatlaah anakwambia Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye kuthamini haki za binadamu😆 pamoja na huyo dogo Julian kuvujishwa damu ila hili litapita kama msiba wa shoga tu. Hutaskia lolote na huyo afisa usalama ataendelea kudunda tu mtaani.
NyegeKhe! Hivi kumbe kuna watu wako serious na wanawake kiasi hiki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha ushamba au Ndio SGR imekuleta Dar! Kuna shida gani kwenda clubin na family members au Ndio kuhusisha club na zinaa tu! Kizazi Cha zinaa hiki Ndio mana anataka kumsindikiza kuzimu mwenzake kwa sababu ya nyegeSasa clubbin na dada yako ili iweje ..
Ujinga.
Wewee!! Em tulia hukoo!🚮🚮Acha ushamba au Ndio SGR imekuleta Dar! Kuna shida gani kwenda clubin na family members au Ndio kuhusisha club na zinaa tu! Kizazi Cha zinaa hiki Ndio mana anataka kumsindikiza kuzimu mwenzake kwa sababu ya nyege
Kwahiyo yule jamaa ni TISS 😂😂Umemsikia Top afande wa Dar, nimejifunza kitu!
Amemtenganisha na kazi yake wakati watuhumiwa wengine wanatajwa kazi wanaofanya
anasema kwamba jalada la uvhunguzi limekamilika na limepelekwa ofisi kuu ya mashtaka kuona kama itamfungulia mashtaka!
Ukizingatia Ile Sheria iliyobadilishwa kwa maksudi kwamba Hawa jamaa nao ni jeshi! Na Wana Kinga ya kutoshtakiwa kwa jinai ikiwa watafanya makosa wakati wa utekellezaji wa majukumu Yao, na ukizingatia kwamba ni msaidizi wa msaidizi wa namba 1. Na ukizingatia kwamba anaweza kusema alikua kazini na yule dada ilikua ni specimen ya kupata taarifa Fulani! Jamaa Yuko huru!
Hawakua wajinga kubadilisha Sheria,tulikua wajinga kushuoaza mafuvu kuona ni sahihi! Banana republic
Huu ni ugaidi TU kama wa Hamas au Hezbollah, alshabab na upumbavu wa namna hiyo! Hata kama Yuko TISS ndio awe taahira namna hiyo unagombania wanawake baa, na hata hujaja nae umemkuta TU! Kama TISS Ina wapumbavu kama Hawa ndio maana nchi inaibiwa sana hii! Badala ya kulinda rasilimali zetu analala club kufanya umalaya, kenge kabisa!Wow wow
Umesoma sheria ya TISS iliyofanyiwa mabadiliko?
Unadhani huyo kijana wa Mafwele hajui kuwa ana mbeleko ya madon na sheria?
Ali Kibao hadi leo hakuna uchunguzi wala hatua zilizochukuliwa.
Failed State
Tunatawaliwa kigaidi
Kalegeaaa 😄 kama ni kweli basi tuna zidi kudhihirisha jamaa wanawaajiri mafalaKwahiyo yule jamaa ni TISS 😂😂
Na hapo angeifyatua humo ndaniKwanza kabisa kutumia silaha ni kosa
Mengine yote ewxondary
Kamanda wa polisi dar kaiweka vizuri sana
Saaa sijui unatetea nini?
Unauliza majibu au sarcasm.? Kama unauliza majibu Ndio ni Mtumishi wa idara ya usalama wa taifa na msaidizi wa msaidizi wa number 1Kwahiyo yule jamaa ni TISS 😂😂