DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Naangalia upoande mmpoja tu kwa sasa kwa sababu habari ni ya upande mmpja tu.

Inaweza kuwa ni movie ya kuigiza. Kwani naona wanawake wa kichina sijuwi wakorea wale?

Au ndiyo wasanii wetu mbinu walizopata Korea?
Huu mjadala umeuzidi umri, huwezi elewa mambo ya vijana. Walio kwenye umri husika wameelewa mtiririko wa tukio hata kama huyo kijana atapata nafuu ya sheria kwa sababu ya nafasi yake ama ya wazazi wake
 
Bila kujali wadhifa wake huyu ame attempt to shoot another person with a gun, haitajalisha anaitwa junior derrick mkila inavyodaiwa ni mtoto wa mstaafu naibu gavana wa benki kuu na mwajiriwa wa Mamlaka ya mapato tanzania kitengo cha customs bandarini kwenye kutoa mizigo.
haki ionekane ikitendeka pasipo kujali uwezo wake wa kifedha, kibiashara za vipodozi kariakoo au kimamlaka hii halihitaji wala kuzungushwa sana kama la afande
 
Nimeiangalia hiyo video!

Huyo fala mwenye bastola ana bahati sana.

Walahi ingekuwa ni mimi, baada ya kugundua bastola yake haifyatui risasi, I would have beat the snot out of him.

No one, and I mean no one, would hit me like that and not expect punches, kicks, elbows, and everything else coming his way.

Watu ni waoga sana aisee.

But I get it, not everyone is wired to fight.

Na ni bahati mbaya sana uonevu kama huo huwa unawapata watu ambao hawana ari ya kujilinda.

Huwezi kunifanyia hivyo halafu nikuache tu. Every time I see you it’s gonna be on-site.
 
Mbona wote walaini ivo ivi usalama hawanaga mafunzo ya Kijeshi,huyu mwingine naweza Sema ni mwanaume wa Dar. Asa Usalama nae mbona anangumi kama ya Gigg money 🤣🤣🤣🤣.

Binafsi huyo usalama angechakaa,napiga teke la tumbooo puuuuu...nampaa ndondii ya Puaaa,namaliza na mkono umesambaa🖐️🖐🏿usoniii! Hapo namwachaa anaona Waiingereza tupuu.
 
Bila kujali wadhifa wake huyu ame attempt to shoot another person with a gun, haitajalisha anaitwa junior derrick mkila inavyodaiwa ni mtoto wa mstaafu naibu gavana wa benki kuu na mwajiriwa wa Mamlaka ya mapato tanzania kitengo cha customs bandarini kwenye kutoa mizigo.
haki ionekane ikitendeka pasipo kujali uwezo wake wa kifedha, kibiashara za vipodozi kariakoo au kimamlaka hii halihitaji wala kuzungushwa sana kama la afande
📌📌
 
Uliwahi kusikia au kusoma popote afisa wa Jeshi anamtolea mtu bastola? Usifananishe Jeshi na hizo taasisi zilizojaa watumishi wasio na maadili wala nidhamu.

Tanzania watu wanaotakiwa kuogopwa ni wanajeshi maana hakuna chombo chenye nguvu zaidi ya Jeshi lakini ni kwa sababu ya nidhamu na utu walionao wanajeshi kwenye jamii ndio maana huwezi kusikia habari za hovyo kama hivyo vyombo vingine ambavyo huona sifa kufanya uharifu.
Wanajeshi wanapiga watu kila siku mitaani kwa ugomvi wa kugombea wanawake wabovu kwenye vilabu vya pombe za kienyeji,uliza Kigamboni huko watu wanavyopigwa ovyo wewe unasema wana nidhamu! Nidhamu gani!
 
Unamtukana mpumbavu kisa kapigwa na Usalama?. Jamaa katokea from nowhere anataka mwanamke ulitaka jamaa akubali tu. Kwanza mwanamke alikuwa hamtaki huyo shoga wa Usalama wa ya Taifa.
Si kweli mkuu..hao walikuwa wote ndani..jamaa akataka kumtorosha binti wakati kala vya watu..
 
Back
Top Bottom