DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inasemekana kuwa hii Club inaendeshwa na Wanaigeria ! Je wamamjua ?? Walimruhusu vipi kuingia na silaha wakati pale wanao mabaunsa ??
 
Huyo kijana mwenye bastola ana bahati alikuwa kwenye mazingira yaliyojaa kondoo.

Utaratibu ni kwamba ukiikoki mara moja ikagoma basi jua ni zamu yako kwenda kumlaki Bwana mawinguni.

Pale anateguliwa miguu na kabla hajafika chini anapokelewa na ngumi moja takatifu itakayomzima kabisa.

Baada ya hapo mikono inafungwa nyuma kwa kamba ya kiatu kisha unamwagiwa maji usoni uamke ili tuelezane vizuri hiyo bastola umeitoa wapi!
 
Magazini ni kifaa au sehemu ya kujaza risasi kama ilivyo tenki la mafuta kwenye gari. Mtu akikoki zile risasi zinatoka kwenye kile kifaa na kwenda kwenye Chemba kisha ukibonyeza kwenye kidude cha kufyatulia ndipo risasi inalipuka na kutoka nje na kuleta madhara au kuteketeza .

Risasi ni ile inayolipuka na kutoa kipande kidogo kama kichuma au kichwa na kumpiga mtu na kuua au kujeruhi. Risasi zinakua nyingi ndani ya magazini . Mfano Magazini ya Bunduki ya Germany 3 inaingia risasi 30. Bastola mara nyingi ni risasi 8 mpaka 12 kutegemea na aina ya bastola.

JKT na mgambo inasaidia kujua angalau ABC za mambo ya kijeshi .
Umeeleza vyema Ila kwa kuongezea ukiweka risasi chemba Kuna kidude kinaitwa usalama kina ON & OFF so ili ufyatue risasi kinabidi kiwe ON ndipo ubonyeze trigger risasi itoke.
 
Kwa hio kuchapa risasi ni mchakato mrefu mbona? Na wale wanaosema imefyatuka je?
Ni ka mchakato kidogo Ila kwakua unamafunzo unaweza kufanya kwa haraka.

Screenshot_20241029-082043.png

NB.
Picha ni kwa msaada wa mtandao (wovuti)
 
Umemsikia Top afande wa Dar, nimejifunza kitu!
Amemtenganisha na kazi yake wakati watuhumiwa wengine wanatajwa kazi wanaofanya
anasema kwamba jalada la uvhunguzi limekamilika na limepelekwa ofisi kuu ya mashtaka kuona kama itamfungulia mashtaka!
Ukizingatia Ile Sheria iliyobadilishwa kwa maksudi kwamba Hawa jamaa nao ni jeshi! Na Wana Kinga ya kutoshtakiwa kwa jinai ikiwa watafanya makosa wakati wa utekellezaji wa majukumu Yao, na ukizingatia kwamba ni msaidizi wa msaidizi wa namba 1. Na ukizingatia kwamba anaweza kusema alikua kazini na yule dada ilikua ni specimen ya kupata taarifa Fulani! Jamaa Yuko huru!
Hawakua wajinga kubadilisha Sheria,tulikua wajinga kushuoaza mafuvu kuona ni sahihi! Banana republic


Great Thinker!
 
Hahahaa Kisura mtaalamu wa Jiu-jitsu na Muay Thai.

No chezea yeye. Halafu huwa hakosi pepper spray…..anazo tatu mojawapo ikiwa ni bear pepper spray.

Kimoja kipo kwenye key chain. Kingine kwenye mfuko wa suruali. Cha tatu kipo kwenye sehemu isiyojulikana.

Kwa hiyo katika purukushani ikitokea anakidondosha kimoja, bado atakuwa na fursa ya kuvitumia hivyo vingine.

Ushawahi kupuliziwa pepper spray wewe?

Aahahaha Julian bana mwambie Kisura asiwe mkali sana mi nataka mjukuu...😅😅😜😜😜.
Ila itabidi na mimi anifundishe ndondi za self defense, pepper spray naah sijawahi puliziwa. 🤔🤔🤔 najua zinapuliziwa machoni Ila akili yangu inavowaza kula na kupenda misosi....😅 imenituma kutembea na nyama, samaki, soseji au kuku iliyokwishaiva, akitokea mtu anataka nipulizia pepper spray nasogeza nyama usoni ikijaa pilipili nakula nyaaam....🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Wee njoo tudundane mimi na wewe, ntahangaika na rhomboids and trapezium zako tuu hadi uwe hoi 😁😁😁.
 
Na kwa kukuthibitishia Hilo. Jioni ya Jana Muliro amewahi TBC jioni wakati ambao anaamini kwamba watu wote wamepumzika majumbani na kutumia chombo hicho kukanusha vikali uhusika wa jamaa na vyombo vya Dola. Kazi aliyokua anafanya Muliro Jana ni kuongea na media tu kuhusu Hilo tukio.

Jiulize na matukio mangapi yanayofnana na Hilo ambayo polisi wametumia nguvu kubwa namna hiyo kuiaminisha media kuwa watuhumiwa hawahusiki na vyombo vyao?

Kuna jambo unashindwa kujiuliza. Kwani Hawa watu wanaishi kwenye space au Dunia tofauti? Sio kwamba tunaishi nao na tunajua whereabouts zao, kazi zao na familia zao? Wana marafiki na watu wanaowafahamu ambao tunaishi nao? Inakuaje unakataa kumhudisha na kazi anayofanya kwamba ndio pamoja na nyege zitokanazo na pombe, ulimbikeni na mambo mengine Ndio driving force ya kufanya huo uhalifu? Au mesahau ya Afande kwenda kung'ang'ania demu Boardroom sinza huku akiwa amelewa na akamsindikiza kuzimu mlinzi? Imeahahulika? Au pale ilishindikana kucover up sababu ya defender na uniform ya polisi?

Hii inakua ngumu Kwa sababu ya attachment ya dogo na msaidizi wa namba Moja, Ili kulinda hadhi na heshima ya ofisi namba Moja. Utungwaji wa Sheria zinalonge kuwapemdelea watu wa aina Fulani madhara yake ni makubwa kwa jamii ya watu wengi! Dogo akidefend alikua kazini na kwamba jamaa alikua anaingilia majukumu yake na alifanya vile Ili kumpunguza kasi ya kufuatilia nani atapinga wakati Sheria imeweka wazi kwamba hawana jinai?
Fallen State
Hii sheria waliopitisha walikuwa na kutojua madhara yake ,hakuna sheria au kinga isio na mipaka . lazima wawe wanawajibishwa kwa kupelekwa kwenye kamati za maadili ili kuthibitisha nguvu waliotumia . haiwezekani kutumia silaha wakati jamaa alikuwa hana silaha na mambo ni very personal pale .

silaha ni kwenye mazingira fulani yanayohatarisha maisha yake.tujitahidi tuwe na wabunge mchanganyiko sio wa chama kimoja ili sheria zisipite bila kupingwa .
 
Back
Top Bottom