DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inasemekana kuwa hii Club inaendeshwa na Wanaigeria ! Je wamamjua ?? Walimruhusu vipi kuingia na silaha wakati pale wanao mabaunsa ??
 
Huyo kijana mwenye bastola ana bahati alikuwa kwenye mazingira yaliyojaa kondoo.

Utaratibu ni kwamba ukiikoki mara moja ikagoma basi jua ni zamu yako kwenda kumlaki Bwana mawinguni.

Pale anateguliwa miguu na kabla hajafika chini anapokelewa na ngumi moja takatifu itakayomzima kabisa.

Baada ya hapo mikono inafungwa nyuma kwa kamba ya kiatu kisha unamwagiwa maji usoni uamke ili tuelezane vizuri hiyo bastola umeitoa wapi!
 
Umeeleza vyema Ila kwa kuongezea ukiweka risasi chemba Kuna kidude kinaitwa usalama kina ON & OFF so ili ufyatue risasi kinabidi kiwe ON ndipo ubonyeze trigger risasi itoke.
 


Great Thinker!
 

Aahahaha Julian bana mwambie Kisura asiwe mkali sana mi nataka mjukuu...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ.
Ila itabidi na mimi anifundishe ndondi za self defense, pepper spray naah sijawahi puliziwa. πŸ€”πŸ€”πŸ€” najua zinapuliziwa machoni Ila akili yangu inavowaza kula na kupenda misosi....πŸ˜… imenituma kutembea na nyama, samaki, soseji au kuku iliyokwishaiva, akitokea mtu anataka nipulizia pepper spray nasogeza nyama usoni ikijaa pilipili nakula nyaaam....🀣🀣🀣🀣🀣🀣.

Wee njoo tudundane mimi na wewe, ntahangaika na rhomboids and trapezium zako tuu hadi uwe hoi 😁😁😁.
 
Hii sheria waliopitisha walikuwa na kutojua madhara yake ,hakuna sheria au kinga isio na mipaka . lazima wawe wanawajibishwa kwa kupelekwa kwenye kamati za maadili ili kuthibitisha nguvu waliotumia . haiwezekani kutumia silaha wakati jamaa alikuwa hana silaha na mambo ni very personal pale .

silaha ni kwenye mazingira fulani yanayohatarisha maisha yake.tujitahidi tuwe na wabunge mchanganyiko sio wa chama kimoja ili sheria zisipite bila kupingwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…