Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ElimuKumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....
nimeiona video yani hawa askari wetu aisee, daah,
kukamata gari kwa kosa lipi? La kodi au wrong parking etc.Hata kusoma hujui ndugu, Majembe alitaka kukamata gari alipoambiwa atoe kitambulisho akagoma
Wamepewa kiburi cha kipuuzi kwa kuwa mtamani u-IGP ana roho mbaya. Kwani mtu akifanya kosa barabarani ndio umtolee magobore? Anasema yeye ameapa. Pumbavu, hajaapa kuwa mtiifu kwa serikali yake? Ningekuwa mkubwa wake angekuwa hana kazi by muda huu. Hana hekima za kiuaskari kiasi cha kuaminiwa kupewa Silaha huyu. Full virobaShida yao inaanzaje sasa?
teh teh tehHawa jamaa ni watemi sana mitaani, lkn Kibiti....!!
Hajavunja sheria yoyote hapo kupiga risasi juu kwenye msongamano wa watu ambao walitaka kuvunja sheria.Kabisa wakiwa siriaz huyu kazi hana, kavunja pakubwa mno taratibu/sheria za matumizi na kubehave ukiwa na siraha ya moto mkononi,
umeona video zote mbili mkuu kabla ya kuchangiaWatanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.
Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?
Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
Hujaelewa kabisa. Gari iliyopaki na dereva akiwa ndaniKwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.
Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.
Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.
Au mi nimeelewa tofauti!?
Ndiyo maana huweze kua mkubwa wake.Wamepewa kiburi cha kipuuzi kwa kuwa mtamani u-IGP ana roho mbaya. Kwani mtu akifanya kosa barabarani ndio umtolee magobore? Anasema yeye ameapa. Pumbavu, hajaapa kuwa mtiifu kwa serikali yake? Ningekuwa mkubwa wake angekuwa hana kazi by muda huu. Hana hekima za kiuaskari kiasi cha kuaminiwa kupewa Silaha huyu. Full viroba
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kigoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Jamaa yupo kwenye black book ya Sizonje anasubiri kufutwa uanachama, halafu na risasi tena zinamsogelea!!!?Adamu mambo yamemwaribikia!