Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 504
Wewe kama nani? Amiri Jeshi Mkuu wake yupo "content" nao hawa MAPORISI. Hukusikia akiwapa baraka za ki-mwendo kasi, wakikamata gari wachomoe matairi, au wapokee rushwa in the name of "kubrashia viatu"? Wacha tuisome namba.Huyo polisi anastahili kusimamishwa kazi.
Ndo mambo gani sasa hayo ya kufyatua risasi hewani kama siyo kutishia watu?
Ingekuwa ni juu yangu ningemfukuzia mbali kabisa maana hafai huyo....he is too trigger happy!
Magu hoyeeee!
Tukutane 2020