Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Tabia hizi za kutaka kukuza kuza mambo wakati humjui kilicho kuwa kinaendelea, hiyo sio fresh hata kidogo - Polisi hawezi kupiga risasai hewani bila ya kuwa na sababu za msingi!!
 
Kwani kupaki gari kando ya barabara kwa dharula ni kosa au kuna muda maalumu wa kupaki.....!!?
Yaani bora hata traffic wakati mwingine akikuona unaelekea kufanya kosa anakuonyeshea mkono kuliko hawa watu wanaosimamia issue za wrong parking sijui nini, kama issue ya kuzuia au matumizi mabaya ya barabara ili anaepark asisababishe madhara kwa watumiaji wengine wa barabara, kwanini kama mtu akionekana anapark sehemu isiyoruhusiwa wasimwambie wakati na wao unakuta wamepiga pozi sehemu na mnyororo wao wametega kama wavuvi wanavizia samaki.

Ipo siku wataona gari imepark ovyo na dereva wanamuona ila kwa kuwa lengo ni kukusanya mapato na si kuzuia matumizi mabaya ya barabara, watamwacha dereva anashuka na wanamuona tena akiwapa kisogo tu tayari wamefunga (je yakaja magari matatu manne hivi kwa style hiyo alafu baadae inatokea changamoto ya ajali kubwa kutokana na hayo magari kupark vibaya itakuaje, nani mwenye makosa, jibu aliepark vibaya lakin bado huyo aliefunga mnnyororo alikuwa na nafasi ya kumwambia usi-park hapo kama lengo ni kuzia matumizi mabaya ya barabara unless kama kapark haupo)
 
Hajavunja sheria yoyote hapo kupiga risasi juu kwenye msongamano wa watu ambao walitaka kuvunja sheria.
We bwana mdogo hivi unajua kuwa askari akishika siraha ya moto haruhusiwi kubishana na raia au kuonesha jazba za waziwazi namna ile
 
Wale jamaa wa kibiti ndio kiboko ya hao mashoga ngoja waendelee kujitapa tapa kitaa waende kibiti!
 
JESUS!
HII ILIPOFIKA!
SO MTU ANAFYATUA RISASI ILI KULINDA EGO YAKE TU!
ASKARI GANI ANARUHUSIWA KUWA NA SILAHA AKIWA HANA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUTAWALA HISIA ZAKE KWA KIWANGO HIKI?
 
Kwenye moja ya comments zangu mchana wa leo, nilisema bado WEWE unayeshabikia ujinga ujinga..... siku si nyingi yatakupata, and you will come back to your senses....... Malima tayari, Bado WEWE....!
 
tutajionea mengi awamu hii. eti kwanini hamueshimu serikali wakati yeye mwenyewe ndo anajidhalilisha kufyatua risasi ovyo
 
Kwa kweli askari wengine wanahabisha jeshi letu pendwa kiasi cha kuonekana halina nidhamu kabisakufikia kiasi cha kutumia silaha ovyo ovyo tu.
IGP please chukua hatua maana inaoneka makamanda wako akina Mkuu Silo hilo la nidhamu ya watu wao linakuwa gumu kweli na mtihani kweli kweli!!!!!!!!!!
Good comment
 
JESUS!
HII ILIPOFIKA!
SO MTU ANAFYATUA RISASI ILI KULINDA EGO YAKE TU!
ASKARI GANI ANARUHUSIWA KUWA NA SILAHA AKIWA HANA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUTAWALA HISIA ZAKE KWA KIWANGO HIKI?
Yet, kuna watu wanasifia ujinga huu. Nchi yetu ina shida sana.
 
Askari ameambiwa hana mamlaka, akajibu kwa kufyatua risasi hewani! Kisha akaanza kumsukuma Adam provocatively, ili Adam naye ajibu uchokozi huo kwa kurusha ngumi. Na kumbe Adam ana hekima, kwamba kama jibu la "huna mamlaka" ni kufatuliwa risasi hewani, basi akirusha ngumi atafyatuliwa ya kichwani! Huyu siyo polisi, ni bangi tupu!

Lakini hawa walionywa, kwamba haya mnayoshabikia au kunyamazia wanapofanyiwa wengine, kuna siku yatawarudia na hakuna atakayewatetea. Sijui kama wenzao waliomo mjengoni wanajifunza kitu hapa!
 
Hivi wewe ukienda nje ya ukuta wa ikulu ambapo pameandikwa no parking , ukapaki na kubakia kwenye gari utakuwa umetenda kosa au utakuwa hujatenda kosa
Zipo sehem special hutakiwi kupark gari kabisa ila sio mtaani. kama upo mtaani nje ya barabara na uko ndani ya gari sio issue.
 
We bwana mdogo hivi unajua kuwa askari akishika siraha ya moto haruhusiwi kubishana na raia au kuonesha jazba za waziwazi namna ile
Hujui kitu unafikiri hiyo ni manati na wewe jaribu ukabishane nao wakulenge... umekaa kulalamika na kuleta ufundi JF tu.
 
Nilipo nawapenda sana. Hata buibui akiingia ndani mwangu namwita polisi aje amtoe. Sina tatizo na soldiers, nina tatizo na soldiers wasio na maadili na waliojaza tui la nazi vichwani mwao. Ngoja tuendeleze zoezi la vyeti huko mtakuja kujua tu.
Huna lolote kaa ulee watoto, ukiingia anga za wanaume ujue umekwisha huu mdomo wako utakusaidia jf tu.
 
Tabia hizi za kutaka kukuza kuza mambo wakati humjui kilicho kuwa kinaendelea, hiyo sio fresh hata kidogo - Polisi hawezi kupiga risasai hewani bila ya kuwa na sababu za msingi!!
Askari yupo sahihi kufyatua risasi hewani ila hayo maneno yaliyokuwa yanamtoka mdomoni ndo yameondoa dhana yote ya kufyatua hewani....
 
Yaani bora hata traffic wakati mwingine akikuona unaelekea kufanya kosa anakuonyeshea mkono kuliko hawa watu wanaosimamia issue za wrong parking sijui nini, kama issue ya kuzuia au matumizi mabaya ya barabara ili anaepark asisababishe madhara kwa watumiaji wengine wa barabara, kwanini kama mtu akionekana anapark sehemu isiyoruhusiwa wasimwambie wakati na wao unakuta wamepiga pozi sehemu na mnyororo wao wametega kama wavuvi wanavizia samaki.

Ipo siku wataona gari imepark ovyo na dereva wanamuona ila kwa kuwa lengo ni kukusanya mapato na si kuzuia matumizi mabaya ya barabara, watamwacha dereva anashuka na wanamuona tena akiwapa kisogo tu tayari wamefunga (je yakaja magari matatu manne hivi kwa style hiyo alafu baadae inatokea changamoto ya ajali kubwa kutokana na hayo magari kupark vibaya itakuaje, nani mwenye makosa, jibu aliepark vibaya lakin bado huyo aliefunga mnnyororo alikuwa na nafasi ya kumwambia usi-park hapo kama lengo ni kuzia matumizi mabaya ya barabara unless kama kapark haupo)
Kupaki kwenye hifadhi ya barabara ni kosa lakini wao wanamfanya mtuhumiwa kama GAIDI lililokuwa liktafuzwa kwa miaka mingi...
 
Kumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....
Malima anatembea n.a. SMG bado?
 
Back
Top Bottom