Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Tabia hizi za kutaka kukuza kuza mambo wakati humjui kilicho kuwa kinaendelea, hiyo sio fresh hata kidogo - Polisi hawezi kupiga risasai hewani bila ya kuwa na sababu za msingi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo askari akizomewa anajibu kwa risasi Tz???Hawa ni vijana waliopo chini ya wizara yako ndugu Mwigulu Nchemba
Nchi yetu haijafikia huko walikofika hawa walinzi wetu, kitendo hiki sio cha kiaskari!
Yaani bora hata traffic wakati mwingine akikuona unaelekea kufanya kosa anakuonyeshea mkono kuliko hawa watu wanaosimamia issue za wrong parking sijui nini, kama issue ya kuzuia au matumizi mabaya ya barabara ili anaepark asisababishe madhara kwa watumiaji wengine wa barabara, kwanini kama mtu akionekana anapark sehemu isiyoruhusiwa wasimwambie wakati na wao unakuta wamepiga pozi sehemu na mnyororo wao wametega kama wavuvi wanavizia samaki.Kwani kupaki gari kando ya barabara kwa dharula ni kosa au kuna muda maalumu wa kupaki.....!!?
We bwana mdogo hivi unajua kuwa askari akishika siraha ya moto haruhusiwi kubishana na raia au kuonesha jazba za waziwazi namna ileHajavunja sheria yoyote hapo kupiga risasi juu kwenye msongamano wa watu ambao walitaka kuvunja sheria.
Nilipo nawapenda sana. Hata buibui akiingia ndani mwangu namwita polisi aje amtoe. Sina tatizo na soldiers, nina tatizo na soldiers wasio na maadili na waliojaza tui la nazi vichwani mwao. Ngoja tuendeleze zoezi la vyeti huko mtakuja kujua tu.
Good commentKwa kweli askari wengine wanahabisha jeshi letu pendwa kiasi cha kuonekana halina nidhamu kabisakufikia kiasi cha kutumia silaha ovyo ovyo tu.
IGP please chukua hatua maana inaoneka makamanda wako akina Mkuu Silo hilo la nidhamu ya watu wao linakuwa gumu kweli na mtihani kweli kweli!!!!!!!!!!
Yet, kuna watu wanasifia ujinga huu. Nchi yetu ina shida sana.JESUS!
HII ILIPOFIKA!
SO MTU ANAFYATUA RISASI ILI KULINDA EGO YAKE TU!
ASKARI GANI ANARUHUSIWA KUWA NA SILAHA AKIWA HANA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUTAWALA HISIA ZAKE KWA KIWANGO HIKI?
Wale ni vilaza umesema sasa kwanini wewe mwenye akili nyingi usiende kuzifanya hizo kazi ili uwafunze kua na akili?Kwani nilikuzuia usichape hizo kazi?
Zipo sehem special hutakiwi kupark gari kabisa ila sio mtaani. kama upo mtaani nje ya barabara na uko ndani ya gari sio issue.Hivi wewe ukienda nje ya ukuta wa ikulu ambapo pameandikwa no parking , ukapaki na kubakia kwenye gari utakuwa umetenda kosa au utakuwa hujatenda kosa
Hujui kitu unafikiri hiyo ni manati na wewe jaribu ukabishane nao wakulenge... umekaa kulalamika na kuleta ufundi JF tu.We bwana mdogo hivi unajua kuwa askari akishika siraha ya moto haruhusiwi kubishana na raia au kuonesha jazba za waziwazi namna ile
Huna lolote kaa ulee watoto, ukiingia anga za wanaume ujue umekwisha huu mdomo wako utakusaidia jf tu.Nilipo nawapenda sana. Hata buibui akiingia ndani mwangu namwita polisi aje amtoe. Sina tatizo na soldiers, nina tatizo na soldiers wasio na maadili na waliojaza tui la nazi vichwani mwao. Ngoja tuendeleze zoezi la vyeti huko mtakuja kujua tu.
Askari yupo sahihi kufyatua risasi hewani ila hayo maneno yaliyokuwa yanamtoka mdomoni ndo yameondoa dhana yote ya kufyatua hewani....Tabia hizi za kutaka kukuza kuza mambo wakati humjui kilicho kuwa kinaendelea, hiyo sio fresh hata kidogo - Polisi hawezi kupiga risasai hewani bila ya kuwa na sababu za msingi!!
Kupaki kwenye hifadhi ya barabara ni kosa lakini wao wanamfanya mtuhumiwa kama GAIDI lililokuwa liktafuzwa kwa miaka mingi...Yaani bora hata traffic wakati mwingine akikuona unaelekea kufanya kosa anakuonyeshea mkono kuliko hawa watu wanaosimamia issue za wrong parking sijui nini, kama issue ya kuzuia au matumizi mabaya ya barabara ili anaepark asisababishe madhara kwa watumiaji wengine wa barabara, kwanini kama mtu akionekana anapark sehemu isiyoruhusiwa wasimwambie wakati na wao unakuta wamepiga pozi sehemu na mnyororo wao wametega kama wavuvi wanavizia samaki.
Ipo siku wataona gari imepark ovyo na dereva wanamuona ila kwa kuwa lengo ni kukusanya mapato na si kuzuia matumizi mabaya ya barabara, watamwacha dereva anashuka na wanamuona tena akiwapa kisogo tu tayari wamefunga (je yakaja magari matatu manne hivi kwa style hiyo alafu baadae inatokea changamoto ya ajali kubwa kutokana na hayo magari kupark vibaya itakuaje, nani mwenye makosa, jibu aliepark vibaya lakin bado huyo aliefunga mnnyororo alikuwa na nafasi ya kumwambia usi-park hapo kama lengo ni kuzia matumizi mabaya ya barabara unless kama kapark haupo)
Malima anatembea n.a. SMG bado?Kumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....