Akumbuke matumizi ya silaha!Kwa nini hamuheshimu serikali?
Nimeapa mie siwezi kuogopa
Natembea na bendera
Polisi wachukuliwe kutoka suma jkt
Sasa kwa nini na yeye anapack sehemu isiyoruhusiwa ? Akisababisha ajali je ? Tatizo hawa wazito wanawadharau sana askari polisi
Kavaa mkanda tu wenye bendera ya taifa kabwatuka kiasi kile, Siku akivaa ngao ya bibi na Bwana begani unafikiri itakuwaje?Hivi bangi imeruhusiwa kwa hawa "walinda usalama"? Sidhani kama haya ni matumizi mazuri ya silaha. Eti ana mkanda wa bendera.... So what? Nawalaumu wale jamaa ambao hawakuhakiki vyeti vya hawa vijana......!!!!! Si bure!!!! Eti ameapa.... Kama umeapa nenda Kibiti ukafanye doria!!!
Aliye na cheti feki hata umpe mafunzo ya kupika Chai, kesho yake mwambie aipike mwenyewe lazima uone maajabu tu.Hata plate no za magari na pikipiki zina bendera.
Kikubwa ninachokiona ni kwamba askari wetu huwa hawapendi kusikiliza. Wanachopenda wao ni amri tu basi. Mimi sikuona cha kumfanya afyatue risasi hewani.
Alichokua anajaribu kufanya ni kumtishia yule jamaa ili asiongee.
Naipenda nchi yangu nawapenda askari. Ila wajifunze namna ya kuwa na busara. Sio kila raia ni mharifu. Ndio maana wanapewa mafunzo ya kumjua mharifu kwa kumtazama tu.
Alafu wapunguze ubabe na wafuate sheria
Mkuu nimecheka na pia hii comment imenifikirisha....naona polisi wanapoelekea watawavunja miguu hadi JK na Ben Mkapa.Good. Nasubiri kuona Mizengo Pinda naye akivunjwa mguu. Mhagama, Kariuki, Nchemba na Simbachiwene, Nyinyi ni nobody compare na Mnauye na Malima. Siku zenu za kudhalilishwa haziko mbali
pole pole, baby step. Hao mawaziri waanze kutia vichwa majiMkuu nimecheka na pia hii comment imenifikirisha....naona polisi wanapoelekea watawavunja miguu hadi JK na Ben Mkapa.
Ngoja tuone.
Hawawazi elewa hili mkuu.pole pole, baby step. Hao mawaziri waanze kutia vichwa maji
Kuna kosa lilitokea bare linalohusiana na matumizi mabaya ya barabara.Askari walijaribu kumchulia harua dereva ambaye alikuwa kwenye gari wananchi nao waliona na wakasogea karibu na kuanza kulalamika kwa maneno.Huyu Malima akiwa miongoni mwa RAIA nae kasogelea tukio mstari wa mbele kabisa huku wakionekana kuvuruga kazi ya askariHiki kiburi cha kutishiana risasi mbona kimezidi sana awamu hii.Raia wamekuwa wakikandamizwa dhulumiwa .nyanyaswa ndani ya inchi yao.Mkoa wa pwani kuna waka moto wameshindwa kudhibiti .RC anavamia vituo vya habari hachukuliwi hatua .Watu wanatafutiwa makesi na RC wa dar .Ina maana kile kiburi cha juu ndiyo kimeshuka hadi chini.Polisi aliyekosa haya na adabu asiyekuwa na huruma kavaa uniform mkanda silaha anayo ina risasi.vyote hivyo ni kodi za watu wa chini halafu unataka kuwaumiza hao hao wanaokupa kula.POOR TANZANIA