koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,645
- 1,748
Hiki kiburi cha kutishiana risasi mbona kimezidi sana awamu hii.Raia wamekuwa wakikandamizwa dhulumiwa .nyanyaswa ndani ya inchi yao.Mkoa wa pwani kuna waka moto wameshindwa kudhibiti .RC anavamia vituo vya habari hachukuliwi hatua .Watu wanatafutiwa makesi na RC wa dar .Ina maana kile kiburi cha juu ndiyo kimeshuka hadi chini.Polisi aliyekosa haya na adabu asiyekuwa na huruma kavaa uniform mkanda silaha anayo ina risasi.vyote hivyo ni kodi za watu wa chini halafu unataka kuwaumiza hao hao wanaokupa kula.POOR TANZANIA