Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Hiki kiburi cha kutishiana risasi mbona kimezidi sana awamu hii.Raia wamekuwa wakikandamizwa dhulumiwa .nyanyaswa ndani ya inchi yao.Mkoa wa pwani kuna waka moto wameshindwa kudhibiti .RC anavamia vituo vya habari hachukuliwi hatua .Watu wanatafutiwa makesi na RC wa dar .Ina maana kile kiburi cha juu ndiyo kimeshuka hadi chini.Polisi aliyekosa haya na adabu asiyekuwa na huruma kavaa uniform mkanda silaha anayo ina risasi.vyote hivyo ni kodi za watu wa chini halafu unataka kuwaumiza hao hao wanaokupa kula.POOR TANZANIA
 
Polisi na ccm wasiwaumize vichwa wakuu, (malima ni ccm, polisi ccm) sasa hapo kuna jipya! Hamuoni kama wanataniana mtu na binamu yake.
 
Alafu wote vitoto vidogo vidogo sanaa.........pumbavu kabisaaa hawa police wa siku hizi hawana maana kabisaaa...wanajifanya wajuaji ndio maana wanauliwaa....
 
Polisi wachukuliwe kutoka suma jkt

Hao suma jkt kidogo wana mafunzo ya kutosha hawa watoto wa siku wameajiliwa baada ya kupata mafunzo ya miezi 6 then wanakuwa police
 
wakuu kama mnawajuwa hawa askari tupeni majina yao na sehemu zao wanazofanyia kazi hasaaa
 
Sasa kwa nini na yeye anapack sehemu isiyoruhusiwa ? Akisababisha ajali je ? Tatizo hawa wazito wanawadharau sana askari polisi

Kwa hiyo parking violation unaidhibiti kwa warning shots za AK 47?

Don't be ridiculous.
 
Masaki pamepigika kichizi.

Askari kapoteza risasi na kutisha raia bila sababu.

Kwa nini polisi wa Tanzania hawapendi kuonyesha vitambulisho?
 
Hivi bangi imeruhusiwa kwa hawa "walinda usalama"? Sidhani kama haya ni matumizi mazuri ya silaha. Eti ana mkanda wa bendera.... So what? Nawalaumu wale jamaa ambao hawakuhakiki vyeti vya hawa vijana......!!!!! Si bure!!!! Eti ameapa.... Kama umeapa nenda Kibiti ukafanye doria!!!
Kavaa mkanda tu wenye bendera ya taifa kabwatuka kiasi kile, Siku akivaa ngao ya bibi na Bwana begani unafikiri itakuwaje?
Akamuulize Zombe maisha anayaonaje kwa sasa?
 
Hata plate no za magari na pikipiki zina bendera.

Kikubwa ninachokiona ni kwamba askari wetu huwa hawapendi kusikiliza. Wanachopenda wao ni amri tu basi. Mimi sikuona cha kumfanya afyatue risasi hewani.
Alichokua anajaribu kufanya ni kumtishia yule jamaa ili asiongee.

Naipenda nchi yangu nawapenda askari. Ila wajifunze namna ya kuwa na busara. Sio kila raia ni mharifu. Ndio maana wanapewa mafunzo ya kumjua mharifu kwa kumtazama tu.

Alafu wapunguze ubabe na wafuate sheria
Aliye na cheti feki hata umpe mafunzo ya kupika Chai, kesho yake mwambie aipike mwenyewe lazima uone maajabu tu.
 
Good. Nasubiri kuona Mizengo Pinda naye akivunjwa mguu. Mhagama, Kariuki, Nchemba na Simbachiwene, Nyinyi ni nobody compare na Mnauye na Malima. Siku zenu za kudhalilishwa haziko mbali
 
Good. Nasubiri kuona Mizengo Pinda naye akivunjwa mguu. Mhagama, Kariuki, Nchemba na Simbachiwene, Nyinyi ni nobody compare na Mnauye na Malima. Siku zenu za kudhalilishwa haziko mbali
Mkuu nimecheka na pia hii comment imenifikirisha....naona polisi wanapoelekea watawavunja miguu hadi JK na Ben Mkapa.

Ngoja tuone.
 
Hiki kiburi cha kutishiana risasi mbona kimezidi sana awamu hii.Raia wamekuwa wakikandamizwa dhulumiwa .nyanyaswa ndani ya inchi yao.Mkoa wa pwani kuna waka moto wameshindwa kudhibiti .RC anavamia vituo vya habari hachukuliwi hatua .Watu wanatafutiwa makesi na RC wa dar .Ina maana kile kiburi cha juu ndiyo kimeshuka hadi chini.Polisi aliyekosa haya na adabu asiyekuwa na huruma kavaa uniform mkanda silaha anayo ina risasi.vyote hivyo ni kodi za watu wa chini halafu unataka kuwaumiza hao hao wanaokupa kula.POOR TANZANIA
Kuna kosa lilitokea bare linalohusiana na matumizi mabaya ya barabara.Askari walijaribu kumchulia harua dereva ambaye alikuwa kwenye gari wananchi nao waliona na wakasogea karibu na kuanza kulalamika kwa maneno.Huyu Malima akiwa miongoni mwa RAIA nae kasogelea tukio mstari wa mbele kabisa huku wakionekana kuvuruga kazi ya askari

Mtazamo wangu n kuwa askari walikuwa sawa kwasababu kilichotokea kwa wingi ule wa watu na kilichokuwa kinazidi kuendelea ilikuwa n dharau kwa jeshi la polisi.
 
Back
Top Bottom