Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Kwako!Dar siyo sehemu salama ya kuishi
Kwenye habari hapo juu umesema wananchi walikuwa wanataka kumpiga(nahisi huyo mtu wa majembe) wakidhani ni jambazi. Hivi unajua wanachi wakidhani wewe ni jambazi wanakufanya nini?Haikuwa na umuhimu kwa Polisi kufyatua risasi juu kwa sababu hakuna aliyekuwa anamtishia au kutishia amani ya wananchi.
Duh!Du! atakuwa huyu ndugu ana bahati mbaya, si ndie kipindi kile alienda Morogoro wakati akiwa hotelini akaibiwa vitu vyake hadi silaha na pete ya ndoa akavuliwa kidoleni
Wananchi walivyotaka kumpiga mtu wa majembe polisi wakaingilia kati, watu wakauchuna sasa baada ya kuondoka polisi wakapanda gari wakasogea mbele kidogo ndo hilo varangati la risasi lilipoanzaKwenye habari hapo juu umesema wananchi walikuwa wanataka kumpiga(nahisi huyo mtu wa majembe) wakidhani ni jambazi. Hivi unajua wanachi wakidhani wewe ni jambazi wanakufanya nini?
Umeona eeeh! Mi mwenyewe ndio niko zangu njiani...nahamia Kibiti - Rufiji.Dar siyo sehemu salama ya kuishi
Anyway tusiokuwepo hatuwezi kuelewa.Wananchi walivyotaka kumpiga mtu wa majembe polisi wakaingilia kati, watu wakauchuna sasa baada ya kuondoka polisi wakapanda gari wakasogea mbele kidogo ndo hilo varangati la risasi lilipoanza
sawa mkuuWanachohitaji ni kujua kusoma, kuandika na kuhesabu hayo mengine someni ninyi. OVA
Mtu aliekuwemo ndani ni mtoto wa Marehemu Kighoma Malima nadhani mkuu utakuwa umeelewa vizuri sasaKighoma Malima kwani yuko hai?
Kumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....
Hawa ni vijana waliopo chini ya wizara yako ndugu Mwigulu NchembaKumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....
huyu ni yule aliyeibiwa a 47 kule moroKighoma Malima kwani yuko hai?