Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Mimi nilijua tu ipo siku hawa majijembe sijui nani watazua balaa. Kwani, hizi manispaa hazina akili nyingine mpaka kulazimisha mapato kwa visheria vya kipuuzi?

Yaani siku hizi kuwa na gari ni kero, utatozwa weeeeee, maana mpk kufungulia redio kwenye gari lako sasa itakuwa fine.
 
Haikuwa na umuhimu kwa Polisi kufyatua risasi juu kwa sababu hakuna aliyekuwa anamtishia au kutishia amani ya wananchi.
Kwenye habari hapo juu umesema wananchi walikuwa wanataka kumpiga(nahisi huyo mtu wa majembe) wakidhani ni jambazi. Hivi unajua wanachi wakidhani wewe ni jambazi wanakufanya nini?
 
Kumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....
 
Kwenye habari hapo juu umesema wananchi walikuwa wanataka kumpiga(nahisi huyo mtu wa majembe) wakidhani ni jambazi. Hivi unajua wanachi wakidhani wewe ni jambazi wanakufanya nini?
Wananchi walivyotaka kumpiga mtu wa majembe polisi wakaingilia kati, watu wakauchuna sasa baada ya kuondoka polisi wakapanda gari wakasogea mbele kidogo ndo hilo varangati la risasi lilipoanza
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wananchi walivyotaka kumpiga mtu wa majembe polisi wakaingilia kati, watu wakauchuna sasa baada ya kuondoka polisi wakapanda gari wakasogea mbele kidogo ndo hilo varangati la risasi lilipoanza
Anyway tusiokuwepo hatuwezi kuelewa.
 
Matumizi ya hovyo ya risasi na kodi za wananchi. Jeshi la polisi liangalie utendaji kazi wa polisi wake hasa katika kuhakikisha wanafuata sheria za nchi na taratibu zao. Inaonyesha wazi hivi sasa Polisi wamekuwa frastruated na matukio yasio na mwelekeo wa utatuzi hasa ya mauaji ya wenzao.
 
Huu ni muendelezo wa vitendo vya hovyo vinavyofanywa na watu wenye dhamana ya kulinda raia na mali zao?

Kulikuwa na sababu za msingi za huyu bwana kutumia risasi?

Alipokabidhiwa hizo risasi aliambiwa akaziharibu bila sababu ya msingi ili kuonyesha kiwango chake cha ghadhabu?

Nakumbuka kuna mtu aliwahi kushauriwa humu kwamba wizara ya mambo ya ndani ni "tego" lake la kisiasa!

Kumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....

Kwema mkuu?

Hiyo silaha ni smg japo sijajua smg aina gani but it must be 3-4 kg (3.1kg i suppose)
Uko sahihi huyu polisi mpuuzi kabisa,weledi 0,na anayoyaongea anaonyesha how stupid he is
 
Huenda ni Adamu Malima sasa unatakia kutoa kitambulisho ambacho kitakutambulisha kama we ninani unapogoma ni mkorofi na mtu anakua hakuelewi
 
Kumbe kapiga risasi ushabiki, kisa kaambiwa hana mamlaka... Dah, vijana wamekosa weledi wa kazi... Mtu kaweka mikono mfukoni kabisa wewe ka li 10Kg unajiona mwanaume....
Hawa ni vijana waliopo chini ya wizara yako ndugu Mwigulu Nchemba

Nchi yetu haijafikia huko walikofika hawa walinzi wetu, kitendo hiki sio cha kiaskari!
 
Back
Top Bottom