Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Kinachonisikitisha zaidi ni ujasiri wa wananchi kutokukumbia baaada ya huo mlio wa risasi!Ishu ni hv, huyu ndugu malima jr alienda IOM akamuacha dereva wake kwenye gari, dereva akaegesha gari upande ambao kuna maduka na migahawa na ni upande ambao huwa hawakamati labda wakubabatishe mjinga mjinga, sasa mabwana wakubwa (Majembe) wakaja akawa anataka kukamata gari, dereva anamuuliza kitambulisho jamaa akagoma, sasa dereva akaanza kumfokea ndo wananchi wakajaa kwenye tukio, walipomuomba tena atoe kitambulisho akagoma ndo wakataka kumpiga, bahati walikuja na polisi ambao walikuwa kwenye gari, baada ya kelele polisi wakatoka kutuliza presha za wananchi. Mwenye gari (Malima) alipokuja akauliza kwa nn wanataka kukamata gari na kwa nn hawataki kutoa vitambulisho majibu hayakupatikana, Polisi wakapanda kwenye gari wakawa wanaondoka, sasa cha ajabu baanda ya mwendo waa sekunde 30 wakapaki gari pembeni wakaanza kujibizana upya ndo hapo dereva akapaniki na askari akapaniki jamaa akaamua kufyatua risasi juu watu hawakukimbia. Ikabidi Polisi wamchukue Malima Jr waende nae Kituoni.
Mkuu umeona hiyo video lkn... Mbona police anamtishia malima kabisaUmeisha sema watu walizingara sehemu Hiyo wakifikiri kuna jambazi, ili kutuliza au kumuokoa Mtu ktk mazingira hayo polisi au Mtu yeyote mwenye kibali cha silaha ana ruhusiwa kupiga risasi hewani Kama warning kwa watu wenye nia ya kutenda uovu. Na sababu za majembe kuivamia hiyo gari huja elezea , hivyo habari inakuwa haija balance
Umeisha sema watu walizingara sehemu Hiyo wakifikiri kuna jambazi, ili kutuliza au kumuokoa Mtu ktk mazingira hayo polisi au Mtu yeyote mwenye kibali cha silaha ana ruhusiwa kupiga risasi hewani Kama warning kwa watu wenye nia ya kutenda uovu. Na sababu za majembe kuivamia hiyo gari huja elezea , hivyo habari inakuwa haija balance
Hata kusoma hujui ndugu, Majembe alitaka kukamata gari alipoambiwa atoe kitambulisho akagomaUmeisha sema watu walizingara sehemu Hiyo wakifikiri kuna jambazi, ili kutuliza au kumuokoa Mtu ktk mazingira hayo polisi au Mtu yeyote mwenye kibali cha silaha ana ruhusiwa kupiga risasi hewani Kama warning kwa watu wenye nia ya kutenda uovu. Na sababu za majembe kuivamia hiyo gari huja elezea , hivyo habari inakuwa haija balance
Kabisa wakiwa siriaz huyu kazi hana, kavunja pakubwa mno taratibu/sheria za matumizi na kubehave ukiwa na siraha ya moto mkononi,Hakuna watu wanaopewa training namna ya kukamata wahalifu au kudeal na RAIA kwenye msongamano kama polisi,Ila wanapenda Sana kujionyesha wao ndiyo Serikali. na huyu akifukuzwa kazi wengine watajifunza.
kulikua na dereva ndani.Aiseeeh,
Kwa hiyo, aliepaki gari barabarani yeye huoni kosa lake au kwa vile ni Gari la Kigogo!?
Nine soma maelezo yako, kwani yanatofauti na ulicho kieleza? Kama ni hivyo rekebisha maelezo yako yaendane na Hiyo video yako . Muda wa kuangalia video na kusoma maelezo unakuwa haba.Umeangalia video? Au unaongea tu?
Kikawaida/kitaratibu/kiitifaki mbunge ni mtu mwenye heshima katika jamii , askari alipaswa kutoa salamu ya saluti , askari wetu hawajui mipaka yao!Hapo malima alikuwa analeta ile unajua mm ni nani, ukiona hadi huyo polisi kamind kiasi hiko, kuna kitu alikuwa kafanyiwa na jamaa. Kumbuka yule traffic alietukanwa na mke wa waziri maiga, hawa watu wenye uwezo kifedha wamekuwa wakiwadharau askari wetu
Haikuwa na umuhimu kwa Polisi kufyatua risasi juu kwa sababu hakuna aliyekuwa anamtishia au kutishia amani ya wananchi.