Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mkuu mpaka 2020 hakuna rangi tutaacha kuona.Kumbe polisi akijibiwa nyodo inatakiwa afyatue risasi??sijawahi kulijua hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mpaka 2020 hakuna rangi tutaacha kuona.Kumbe polisi akijibiwa nyodo inatakiwa afyatue risasi??sijawahi kulijua hili
Wewe silaha haizoelekiMilio ya risasi ikizoeleka kwenye taifa lolote ni hatari kubwa sana
Sijui mkubwa wake akimuuliza risasi alizopewa alizitumia vipi na kwanini atajibu nini?..kwamba nilipandwa na hasira nikazifyatulia hewani?Tukichukulia undani wa tukio..huyo askari anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu hata kama kulikuwa na mhalifu pale bado hakustahili kufyatua risasi angani kwa kuwa hapakuwapo mtu aliyefanya fujo wala aliyetishia amani wala mwenye silaha ya wazi eneo lile!!...THAT WAS AN ACT OF EXCESSIVE USE OF FORCE!
Ndiyo maana huweze kua mkubwa wake.
Utaishia kupiga kelele JF
Unafikiri silaha wanabeba za maonyesho siku nyingine utatwangwa risasi haitapigwa tena juu!!Nijue inisaidie nini? We unaona alivyofuatua risasi kawatengenezea wananchi image gani?
KabisaNa jela ungeendaa
Usiwe narrow minded nimekupa mfano, kimsingi unapoonesha dharau tegemea feedback mbaya kutoka kwa yule uliyemdharau.Kumbe polisi akijibiwa nyodo inatakiwa afyatue risasi??sijawahi kulijua hili
Jamani!Uzuri wote Polisi na Malima wanataka Chama kimoja chama cha Majambazi aka CCM waache waonyeshane number.
Huyo polisi ana stress za maisha,umasikini wake umemfanya awe na hasira kwa malima!..aache ujinga hawa polisi hua hawana busara ya kuchukulia mambo na kuyakabili kwa uzuri ni kukurupuka tuNdio maana nimesema nimemkubali sana yule polisi aliyefyatua hakika ana uchungu na watu wenye dharau dadadeki.Kijana kunywa bili niletee sitaki ujinga mimi
Hopeless comments!!Hivi kuheshimu Serikali au kuigopa Serikali?? Kwanini mwenzake alimwambia aache?Alijua wanamakosa.Ifike mahali pande zote mbili ziheshiamiane.Polisi lazima waheshimu RAIA na RAIA waheshimu polisi bila polisi kuheshimu RAIA hakuna kujeshimiana.Angeua RAIA wange sema polisi kaua Jambazi Sugu.
Mbona enzi za JKN huu upumbavu ilikuwa hakuna.Ushenzi huu upo awamu hii tu kisa polisi aogopewe.
Hakosi cheti feki huyo. Akili ya huyo askari inawakilisha asilimia 90 ya maaskari wetu. Angeua mtu wangesema wamepambana na jambazi wamemuua wakati wakirushiana risasi
Wewe kwa akili yako unadhani kua na akili ni kumshabikia mtu aliyeonesha dharau kwa askari polisi.Kwa jinsi ulivyo hukupaswa kuweka avatar ya watu wenye akili kama hao.
NI KOSA KUBWA KUONDOA USALAMA WA SILAHA MKABBALA NA JAMII YA RAIA HURU WASIO NA MIKINZANO NA ASKARI!!Sijui mkubwa wake akimuuliza risasi alizopewa alizitumia vipi na kwanini atajibu nini?..kwamba nilipandwa na hasira nikazifyatulia hewani?
Jamani!
Hivi kuheshimu Serikali au kuigopa Serikali?? Kwanini mwenzake alimwambia aache?Alijua wanamakosa.Ifike mahali pande zote mbili ziheshiamiane.Polisi lazima waheshimu RAIA na RAIA waheshimu polisi bila polisi kuheshimu RAIA hakuna kujeshimiana.Angeua RAIA wange sema polisi kaua Jambazi Sugu.
Mbona enzi za JKN huu upumbavu ilikuwa hakuna.Ushenzi huu upo awamu hii tu kisa polisi aogopewe.