Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Tukichukulia undani wa tukio..huyo askari anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu hata kama kulikuwa na mhalifu pale bado hakustahili kufyatua risasi angani kwa kuwa hapakuwapo mtu aliyefanya fujo wala aliyetishia amani wala mwenye silaha ya wazi eneo lile!!...THAT WAS AN ACT OF EXCESSIVE USE OF FORCE!
Sijui mkubwa wake akimuuliza risasi alizopewa alizitumia vipi na kwanini atajibu nini?..kwamba nilipandwa na hasira nikazifyatulia hewani?
 
Nijue inisaidie nini? We unaona alivyofuatua risasi kawatengenezea wananchi image gani?
Unafikiri silaha wanabeba za maonyesho siku nyingine utatwangwa risasi haitapigwa tena juu!!
 
Haizoeleki wapi mtu kapiga juu hakuna mwananchi aliyeamsha popo au hujaona?
 
Kumbe polisi akijibiwa nyodo inatakiwa afyatue risasi??sijawahi kulijua hili
Usiwe narrow minded nimekupa mfano, kimsingi unapoonesha dharau tegemea feedback mbaya kutoka kwa yule uliyemdharau.

Yule jamaa anataka kuonesha jeuri ya pesa, kuna mambo kama mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua, heshimu askari maana wao ndio walinzi tuliowapa dhamana ya kutulinda, hata rais na viongozi wengine tunalazimika kuwaheshimu maana wana dhamana, umaarufu na utajiri wetu sio jambo la msingi sana linapokuja suala la ulinzi na usalama, ndio maana tunahitaji kuilinda amani tuliyonayo kwa nguvu zote maana hiyo amani ikipotea hata pesa zako hazina thamani tena, utatumia wapi?
Tuheshimu serikali, tuheshimu askari suala la mapungufu kila mtu analo hata wewe lazima una mapungufu yako.

Cha kujua ni kwamba askari hapendwi kirahisi kama wengi wenu mnavyodhani
 
Acha mboyoyo ww,anapagawa nini askari?
Matokeo ya kutokaguliwa vyeti kwa hawa polisi na laana ya mkoa kuongozwa na 0
 
Ndio maana nimesema nimemkubali sana yule polisi aliyefyatua hakika ana uchungu na watu wenye dharau dadadeki.Kijana kunywa bili niletee sitaki ujinga mimi
Huyo polisi ana stress za maisha,umasikini wake umemfanya awe na hasira kwa malima!..aache ujinga hawa polisi hua hawana busara ya kuchukulia mambo na kuyakabili kwa uzuri ni kukurupuka tu
 
Hivi kuheshimu Serikali au kuigopa Serikali?? Kwanini mwenzake alimwambia aache?Alijua wanamakosa.Ifike mahali pande zote mbili ziheshiamiane.Polisi lazima waheshimu RAIA na RAIA waheshimu polisi bila polisi kuheshimu RAIA hakuna kujeshimiana.Angeua RAIA wange sema polisi kaua Jambazi Sugu.

Mbona enzi za JKN huu upumbavu ilikuwa hakuna.Ushenzi huu upo awamu hii tu kisa polisi aogopewe.
Hopeless comments!!
 
Hakosi cheti feki huyo. Akili ya huyo askari inawakilisha asilimia 90 ya maaskari wetu. Angeua mtu wangesema wamepambana na jambazi wamemuua wakati wakirushiana risasi

Acha ushilawadu, unajua wasiokuwa na vyeti wewe!?

Ao hao, polisi tukio likitokea mnawalilia waje kuwasaidia ila wakiwa kazini katika majukumu yao mengine ya kila siku; mnajitoa ufahamu na kuwadharau!

Naona, wawaache mtobolewe na vibaka huko mitaani kwanza ndiyo mtatambua umuhimu wa hao polisi .
 
Kwa jinsi ulivyo hukupaswa kuweka avatar ya watu wenye akili kama hao.
Wewe kwa akili yako unadhani kua na akili ni kumshabikia mtu aliyeonesha dharau kwa askari polisi.

Hata wewe nakuhakikishia siku ukionesha dharau mbele ya askari yeyote utaumia, vinginevyo omba Mungu askari wote utakaokutana nao wawe ni wapole 100%
 
Mkuu, unatetea hawa polisi wanaosakizia watu kesi na kujali maslahi ya pess kuliko raia?
 
Askari wana Inferiority complex. Huwa hawajiamini kabisa wanaamini wanadharauliwa kwa kuwa wengi wao ni Form Four Failure. Yaani Fa, Fa, Fa. Na ndo maana kidogo tu wanapanic.
 
Sijui mkubwa wake akimuuliza risasi alizopewa alizitumia vipi na kwanini atajibu nini?..kwamba nilipandwa na hasira nikazifyatulia hewani?
NI KOSA KUBWA KUONDOA USALAMA WA SILAHA MKABBALA NA JAMII YA RAIA HURU WASIO NA MIKINZANO NA ASKARI!!
 
Hivi kuheshimu Serikali au kuigopa Serikali?? Kwanini mwenzake alimwambia aache?Alijua wanamakosa.Ifike mahali pande zote mbili ziheshiamiane.Polisi lazima waheshimu RAIA na RAIA waheshimu polisi bila polisi kuheshimu RAIA hakuna kujeshimiana.Angeua RAIA wange sema polisi kaua Jambazi Sugu.

Mbona enzi za JKN huu upumbavu ilikuwa hakuna.Ushenzi huu upo awamu hii tu kisa polisi aogopewe.

Wacha wewe ndugu yangu umesahau kipindi kile waliokuw a wanawalalamikia polisi ni wakina nani? Wewe ulikuwa upande hupi mpaka usione hilo jambo?

Kweli nimegundua Watanzania Ni Wepesi Wa Kusahau, Leo Utamuona Huyu Rafiki (Kama Wewe Hapo Unavyosema Etti Enzi Za JKN).... Lakini Sasa Wanatafuna Na Upande Wako Unaona Sasa Ngumu Kumeza.
 
Back
Top Bottom