Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Nnapoona walokuwa kijani njano aka Lumumba wanatendewa hv nafarijika sana let dem feel it
 
Kwahiyo ukimjibu kwa nyodo polisi,risasi hewani!Mwishoni kamuweka chini ya ulinzi,mimi nilidhani hilo lingefanyika mapema kabisa na wala kusingekuwa na sintofaham uisiyo na kichwa wala miguu!Angalia video hii halafu linganisha na hiyo kwenye thread labda itakufungua macho usiendelee kuzungumza usichokijua!

Sina muda wa kuangalia hiyo video kwa sababu kama ungetaka comparison ungeanza kufanya comparison ya ustaarabu wa raia wa kitanzania na raia wa nchi za wenzetu, waafrika tuko rough sana, accidentally kuna black wako USA wanapoleta dharau wanapigwa risasi na askari polisi wanakufa kama kuku
 
Mi sina shida na polisi lakini nashida na wendawazimu waliovaa sare za kipolisi

Tukana tu, ila siku utakapokutwa na majanga utatamani hata sare ya polisi isimame mbele zako ikuokoe ila Kwa bahati mbaya hutapata nafasi hiyo.
 
Huyu polisi alikuwa na haki ya kufyatua risasi...
Dharau hakuna aipendaye!
Ila staha kidogo ilihitajika pande zote...
Polisi nao wawe na busara na hekima...
Zile risasi zingeweza kuua hata mpita njia!
Huu uadui kati ya Polisi na Raia ifikie mwisho uishe...
Kwani ukiendelea uko mbeleni madhara yake ni makubwa
 
Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku
Kwa hyo unataka kusema hapa askari alikuwa sahihi
 
Usiwe narrow minded nimekupa mfano, kimsingi unapoonesha dharau tegemea feedback mbaya kutoka kwa yule uliyemdharau.

Yule jamaa anataka kuonesha jeuri ya pesa, kuna mambo kama mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua, heshimu askari maana wao ndio walinzi tuliowapa dhamana ya kutulinda, hata rais na viongozi wengine tunalazimika kuwaheshimu maana wana dhamana, umaarufu na utajiri wetu sio jambo la msingi sana linapokuja suala la ulinzi na usalama, ndio maana tunahitaji kuilinda amani tuliyonayo kwa nguvu zote maana hiyo amani ikipotea hata pesa zako hazina thamani tena, utatumia wapi?
Tuheshimu serikali, tuheshimu askari suala la mapungufu kila mtu analo hata wewe lazima una mapungufu yako.

Cha kujua ni kwamba askari hapendwi kirahisi kama wengi wenu mnavyodhani
Poor thinking capacity...polisi alikuwa anafyatua risasi akiwa na lengo gani...mtuhumiwa kama huyo polisi ilitakiwa amkamate...je kwenye hiyo clip polisi ametaka kumkamata mtuhumiwa mtuhumiwa akagoma tuseme kwamba polisi alikuwa anajihami...kwa akili hizi za viroba mlizonazo nyi polisi ndo mana mnadharaulika
 
Yule dogo kanichekesha lkn inatokeaga sana mtu mmoja unakuta na shambuliwa na watu kama kumi akawa Anataka kama kulia iv akatoka kabisa kwenye swala la msingi oooh benders,nimehapa mimi mala mkanda
Wakati alizungukwa na watu ambao awana ata mawe a kukua na Dalili ya yeye kushambulia ila mi naona
Huu ni muendeleza wa ile ishu ya Nape Police wanajiamini Kupitiliza ni mbaya Sana wahusika wadhibiti maramoja
 
Sina muda wa kuangalia hiyo video kwa sababu kama ungetaka comparison ungeanza kufanya comparison ya ustaarabu wa raia wa kitanzania na raia wa nchi za wenzetu, waafrika tuko rough sana, accidentally kuna black wako USA wanapoleta dharau wanapigwa risasi na askari polisi wanakufa kama kuku
Angalia vyote hivyo vipo,cha kwanza kinachoonekana ni jinsi raia walivyokuwa wakali wakitukana matusi huku wamewaelekezea polisi camera usoni,angalia response ya polisi!
 
Tukana tu, ila siku utakapokutwa na majanga utatamani hata sare ya polisi isimame mbele zako ikuokoe ila Kwa bahati mbaya hutapata nafasi hiyo.
Aniokoe yeye Mungu? Acheni kutukuza upuuzi, kwa miiko ya polisi hapo kesho anatakiwa site kupiga kazi ngumu. Madaktari nao wasemeje ambao unafika kwao hata hujatambui
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku

Hilo tu ndiyo tatizo, watu wengi wanawadharau polisi .

Hata humu JF, wewe angalia wachangiaji wanachosema.
Hakuna anayejiuliza upande wa pili wa tukio hilo.
 
Siku vibaka wakikukamata au wakamtenda vibaya nduguyo ndiyo utawakumbuka na kuwaheshimu polisi.

Leo, unaweza ukaongea na kutukana ila siku ukiwa majanga utawakumbuka polisi kwa machozi.
Ni mara ngapi askari wanatenda mabaya kuliko hata vibaka
 
Poor thinking capacity...polisi alikuwa anafyatua risasi akiwa na lengo gani...mtuhumiwa kama huyo polisi ilitakiwa amkamate...je kwenye hiyo clip polisi ametaka kumkamata mtuhumiwa mtuhumiwa akagoma tuseme kwamba polisi alikuwa anajihami...kwa akili hizi za viroba mlizonazo nyi polisi ndo mana mnadharaulika
Dharau ya pesa ndio iliyomfikisha Manji katika ule usumbufu.
Polisi wanaweza kua wanadharaulika lakini kwa siri siri sio kama walimu wanaodharaulika wazi wazi.
 
Hilo tu ndiyo tatizo, watu wengi wanawadharau polisi .

Hata humu JF, wewe angalia wachangiaji wanachosema.
Hakuna anayejiuliza upande wa pili wa tukio hilo.
Ni kweli mkuu yaani kila mtu analaumu polisi lakini wakumbuke Malima lazima amejibu jeuri(dharau), mbona polisi walikua wameanza kuondoka iweje wakarudi?
Dharau jambo baya sana kwa kila mtu ukionesha dharau tegemea kukutana na feedback mbaya.
 
Hata kama angetemewa mate usini huwezi piga risasi kijinga tena zihesabiwe hizo risasi akatwe kwenye mshahara wake kodi yangu haiwezi kutumika kupiga wananchi biti
 
Back
Top Bottom