Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alipuliza bangi kidogoHuyo ni polisi au kibaka?
Kwahiyo ukimjibu kwa nyodo polisi,risasi hewani!Mwishoni kamuweka chini ya ulinzi,mimi nilidhani hilo lingefanyika mapema kabisa na wala kusingekuwa na sintofaham uisiyo na kichwa wala miguu!Angalia video hii halafu linganisha na hiyo kwenye thread labda itakufungua macho usiendelee kuzungumza usichokijua!
Mi sina shida na polisi lakini nashida na wendawazimu waliovaa sare za kipolisi
Hatari sana, anaweza kujiumiza mwenyewe!Huyo askari amepaniki huku ameshika mjegejo!!!
Kwa hyo unataka kusema hapa askari alikuwa sahihiKila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku
Poor thinking capacity...polisi alikuwa anafyatua risasi akiwa na lengo gani...mtuhumiwa kama huyo polisi ilitakiwa amkamate...je kwenye hiyo clip polisi ametaka kumkamata mtuhumiwa mtuhumiwa akagoma tuseme kwamba polisi alikuwa anajihami...kwa akili hizi za viroba mlizonazo nyi polisi ndo mana mnadharaulikaUsiwe narrow minded nimekupa mfano, kimsingi unapoonesha dharau tegemea feedback mbaya kutoka kwa yule uliyemdharau.
Yule jamaa anataka kuonesha jeuri ya pesa, kuna mambo kama mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua, heshimu askari maana wao ndio walinzi tuliowapa dhamana ya kutulinda, hata rais na viongozi wengine tunalazimika kuwaheshimu maana wana dhamana, umaarufu na utajiri wetu sio jambo la msingi sana linapokuja suala la ulinzi na usalama, ndio maana tunahitaji kuilinda amani tuliyonayo kwa nguvu zote maana hiyo amani ikipotea hata pesa zako hazina thamani tena, utatumia wapi?
Tuheshimu serikali, tuheshimu askari suala la mapungufu kila mtu analo hata wewe lazima una mapungufu yako.
Cha kujua ni kwamba askari hapendwi kirahisi kama wengi wenu mnavyodhani
Angalia vyote hivyo vipo,cha kwanza kinachoonekana ni jinsi raia walivyokuwa wakali wakitukana matusi huku wamewaelekezea polisi camera usoni,angalia response ya polisi!Sina muda wa kuangalia hiyo video kwa sababu kama ungetaka comparison ungeanza kufanya comparison ya ustaarabu wa raia wa kitanzania na raia wa nchi za wenzetu, waafrika tuko rough sana, accidentally kuna black wako USA wanapoleta dharau wanapigwa risasi na askari polisi wanakufa kama kuku
Aniokoe yeye Mungu? Acheni kutukuza upuuzi, kwa miiko ya polisi hapo kesho anatakiwa site kupiga kazi ngumu. Madaktari nao wasemeje ambao unafika kwao hata hujatambuiTukana tu, ila siku utakapokutwa na majanga utatamani hata sare ya polisi isimame mbele zako ikuokoe ila Kwa bahati mbaya hutapata nafasi hiyo.
Kwahiyo nawewe unataka kusema Malima alikua sahihi?Kwa hyo unataka kusema hapa askari alikuwa sahihi
Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku
Ni mara ngapi askari wanatenda mabaya kuliko hata vibakaSiku vibaka wakikukamata au wakamtenda vibaya nduguyo ndiyo utawakumbuka na kuwaheshimu polisi.
Leo, unaweza ukaongea na kutukana ila siku ukiwa majanga utawakumbuka polisi kwa machozi.
Dharau ya pesa ndio iliyomfikisha Manji katika ule usumbufu.Poor thinking capacity...polisi alikuwa anafyatua risasi akiwa na lengo gani...mtuhumiwa kama huyo polisi ilitakiwa amkamate...je kwenye hiyo clip polisi ametaka kumkamata mtuhumiwa mtuhumiwa akagoma tuseme kwamba polisi alikuwa anajihami...kwa akili hizi za viroba mlizonazo nyi polisi ndo mana mnadharaulika
Ni kweli mkuu yaani kila mtu analaumu polisi lakini wakumbuke Malima lazima amejibu jeuri(dharau), mbona polisi walikua wameanza kuondoka iweje wakarudi?Hilo tu ndiyo tatizo, watu wengi wanawadharau polisi .
Hata humu JF, wewe angalia wachangiaji wanachosema.
Hakuna anayejiuliza upande wa pili wa tukio hilo.
Hata kama angetemewa mate usini huwezi piga risasi kijinga tena zihesabiwe hizo risasi akatwe kwenye mshahara wake kodi yangu haiwezi kutumika kupiga wananchi bitiNi kweli mkuu yaani kila mtu analaumu polisi lakini wakumbuke Malima lazima amejibu jeuri(dharau), mbona polisi walikua wameanza kuondoka iweje wakarudi?
Dharau jambo baya sana kwa kila mtu ukionesha dharau tegemea kukutana na feedback mbaya.