tanzania digital
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 425
- 269
Haya yote yalishasemwa na Tundu lisu,alisema wazi kuwa hawa watu wakishamaliza kwa wapinzani basi watawageukia watawala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko siku wakikasirishwa kweli kweli wataingia barabarani kwa mamilioni na hakuna risasi zitakazotosha. Huu ndiyo ukweli mchungu; mazingira yanawajengea watz usugu na woga unaendelea kuwatoka.Kinachosikitisha ni kwamba RAIA WA TANZANIA sasa hivi HAWAOGOPI tena bunduki, kwa enzi za zamani hapo watu walishatoka mbio na taharuki, lakini sasa hivi wanamuangalia na kumwambia HANA MAMLAKA ya kutoa bunduki! HII INAASHIRIA NINI?
Sadly kwa akili hizo huna mamlaka hata ya kumfukuza mchunga ng'ombe aliye ajiriwa na baba yako kijijini.Hata kama angetemewa mate usini huwezi piga risasi kijinga tena zihesabiwe hizo risasi akatwe kwenye mshahara wake kodi yangu haiwezi kutumika kupiga wananchi biti
Sikulaumu kwa huo Mtazamo wako,sio kosa lako.Usilolijua ni msitu wa mpingo kuhusu elimu.
Polisi, katumia busara sana, ila watu wengi ni wanafiki sana na ni mapopo katika fikira zao nawe ukiwemo.
Hilo tukio , lina mitazamo mingi ila hitimisho ni kuwa polisi aliongezea hiyo ya hewani ili kutuliza wapuuzi ambao wangetaka kufuata kituoni, maana huwa hamkosekani wa kukimbia nyuma ya gari la polisi kwenda kituoni.
Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku
Angalia vyote hivyo vipo,cha kwanza kinachoonekana ni jinsi raia walivyokuwa wakali wakitukana matusi huku wamewaelekezea polisi camera usoni,angalia response ya polisi!
Wewe endelea na kazi ya kulinda Lumumba na kusafisha viatu vya Makonda, hauna nafasi kwenye jeshi letu la polisi tunalijengea welediMalima ana bahati sana ningekuwa mimi ndo polisi jina lake lingekuwa limeshabadilika na pengine tungekiwa tumeshagawana majengo ya serikali, yeye muhimbili mimi ukonga
Video clip inatoa mwanga zaidi kuhusu hilo tukio.
Inaweza kuwa hivyo au la kutokana na haya yafuatayo, maelezo ya mleta thread yanatofautiana na Hiyo video Kama nilivyo muuliza huko nyuma, pili video haikuchukua taarifa za awali , hivyo unaweza kuwa na picha inayo onyesha kitu fulani na kuacha vitu fulani hivyo kutoa taswira isiyo ya kweli. Au iliyoelemea upande moja. Na si nia yangu kupigia upatu upande wowote . Kwa sababu haitatujengaVideo clip inatoa mwanga zaidi kuhusu hilo tukio.
Hujafundishwa raia kuheshimu askari?Nimefundishwa Jeshi ni kwamba askari ni kioo cha jamii na sababu ya nidhamu.Sasa kama.Askari huna nidhamu,huwezi kuheshimu RAIA,uko busy kunyanyasa RAIA,ndiyo sababu ya rushwa duh!ukiwa hivyo unastahili red carpet tu.
Wewe utakuwa unawakilisha maoni ya kwenye uelewa mdogo.kwa hiyo dharau kiboko yake ni risasiNi kweli mkuu yaani kila mtu analaumu polisi lakini wakumbuke Malima lazima amejibu jeuri(dharau), mbona polisi walikua wameanza kuondoka iweje wakarudi?
Dharau jambo baya sana kwa kila mtu ukionesha dharau tegemea kukutana na feedback mbaya.
Malima amechanganyikiwa kukosa ubunge.
Askari akikupa amri lazima utii tu hata kama una haki zote.
Ingekuwa mie ni yule askari nisingepiga juu kuharibu kuharibu mazingira tu,ningempa Malima risasi kama tano za kwenye vidole vya miguu akajifunze utii bila ya shuruti