Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna vitu vinahitaji utekelezaji wa haraka havina mjadala mfano . Usipaki gari hapa au ondoa gari hapa ni lazima utii hiyo amriNimeona umuhim wa askari polisi, Kuwa na Elim walau ya chuo ,kikukuu au diploma, tu, itawasaidia ktk reasoning,
Sikulaumu kwa huo Mtazamo wako,sio kosa lako.
1[emoji830]Elimu
2[emoji830]Elimu
3[emoji830]Elimu
Vyeti
NDIO UELEWE JINSI HATA HUMO NDANI YA CCM WALIVYOCHOSHWA NA UBABE!!..WAPO TAYARI KUFA SIO KWA HILO TU!!!Malima naye ni mjinga aweziona mtu kashapandisha jazba kupitiliza pale angeweza pigwa risasi akafa kwa jambo ambalo angeweza epusha .police yule amepitiliza kiwango cha ujinga na nilishaona mauti kwa Malima yalishanikia siku nyingine asibishane na askari mwenye jazba hivyo ni hatari kwake
Sasa je!!..Kama Kaamua kabisa kubishana na Polisi leo aliyeshika silaha unafikiri kesho atafanye!!Enheeeee!!
Kesho akimuona atajihami vizuriSasa je!!..Kama Kaamua kabisa kubishana na Polisi leo aliyeshika silaha unafikiri kesho atafanye!!
Unaweza kuwa umesoma na unaishi Visiwa vya Ngazija still utaji reffer kama umesoma na kuishi nje.Niko na elimu nzuri, kubwa na hata ukitafuta watu kumi wenye vyeti safi na vyenye tija hapo Tanzania, nami nimo.
Zaidi ya hapo, tambua sipo hapo Tanzania niko nje na nimesoma nje elimu yangu takribani yote.
Ila daima naangalia jambo kwa upana, hekima na akili sana.
Hebu, jiulize mambo machache na madogo sana kama haya :
Kama , dereva asingeegesha gari mahala ambapo siyo sahihi Je, haya yangetokea!?
Kama alivyoelekezwa kwa nini awatukane majembe na kuwadharau polisi!?
Kwa nini wananchi walitaka kuwapiga watu wa majembe na kuwafokea polisi!?
Aiseeeeh, tujiheshimu sisi wenyewe na kuwaheshimu polisi!
Tusiwe watu wa kuangalia upande mmoja na kutumia chuki juu ya polisi na mamlaka mbalimbali.
Pia, tujiheshimu kwa kutii amri na mamlaka pasi shurti.
Binafsi, ningekuwa kiongozi wa huyo polisi ningempandisha cheo.
Braza ...unataka wahakiki cheti cha huyu jamaa aje kitaa? nooooooo .....mtu anatumia SMG kwa mkono mmoja? ....kazi kazi isijehamia kitaa braza ....Hivi bangi imeruhusiwa kwa hawa "walinda usalama"? Sidhani kama haya ni matumizi mazuri ya silaha. Eti ana mkanda wa bendera.... So what? Nawalaumu wale jamaa ambao hawakuhakiki vyeti vya hawa vijana......!!!!! Si bure!!!! Eti ameapa.... Kama umeapa nenda Kibiti ukafanye doria!!!
Mim binafs huwa siwez kubinashana na watu wenye I.Q ndogo kama po.....li.....ci. eti mkanda unabendera ya taifa so then....!!!!! Kwani kama umeapa hutakufa???. Idiot
Haihitaji akili ya kukaa darasani kujua ujinga wa Malima na hao waliokuwa pembeni wanachagiza maneno ya dharau kwa askari..body language ya malima dhahiri inaonyesha dharau..kwa mwenye akili na anayefahamu jukumu alilo nalo polisi na mazingira wanamofanyia kazi huwezi fanya vile malima alikuwa anaonyesha kwa polisi, tuwaheshimu askari wetu..hayo maneno maneno ya kujifanya kujua sheria ilihali sheria hawazijui bora kukaa kimya!Malima naye ni mjinga aweziona mtu kashapandisha jazba kupitiliza pale angeweza pigwa risasi akafa kwa jambo ambalo angeweza epusha .police yule amepitiliza kiwango cha ujinga na nilishaona mauti kwa Malima yalishanikia siku nyingine asibishane na askari mwenye jazba hivyo ni hatari kwake
SIO KILA UMTISHIAYE NI KENGE, WENGINE MAMBA!!Kesho akimuona atajihami vizuri
Kisha akileta ubishi anafyatua "full version"
Ni kweli huyu anaandika kishabiki.hv unapokuwa mbunge maana yake unakuwa juu ya dola!!?? Yaani unataka kuwa ni utaratibu kw mtu au aliekuwa kiongoz kujiona yuko juu ya mamlaka.Mbona unandika kushabiki
Unaweza kuwa umesoma na unaishi Visiwa vya Ngazija still utaji reffer kama umesoma na kuishi nje.
Ila hapo kwenye Potential Tanzanians,excuse us,kamdanganye mumeo na wanao