Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Afuu malimaa akawa Anamuangalia tuu..!! Yanii wenye vyeti fekii badoo wapo kibaoo...hasa haoo jamaa..
 
Nimeona umuhim wa askari polisi, Kuwa na Elim walau ya chuo ,kikukuu au diploma, tu, itawasaidia ktk reasoning,
kuna vitu vinahitaji utekelezaji wa haraka havina mjadala mfano . Usipaki gari hapa au ondoa gari hapa ni lazima utii hiyo amri
 
"Mithali 27:17Kama vile chuma kinoavyo chuma,
ndivyo mtu amnoavyo mwenzake"...TUTASHUHUDIA TU UMMA UTAKAVYOJIBU MAPIGO!
 
Sikulaumu kwa huo Mtazamo wako,sio kosa lako.

1[emoji830]Elimu
2[emoji830]Elimu
3[emoji830]Elimu

Vyeti

Niko na elimu nzuri, kubwa na hata ukitafuta watu kumi wenye vyeti safi na vyenye tija hapo Tanzania, nami nimo.

Zaidi ya hapo, tambua sipo hapo Tanzania niko nje na nimesoma nje elimu yangu takribani yote.

Ila daima naangalia jambo kwa upana, hekima na akili sana.

Hebu, jiulize mambo machache na madogo sana kama haya :

Kama , dereva asingeegesha gari mahala ambapo siyo sahihi Je, haya yangetokea!?

Kama alivyoelekezwa kwa nini awatukane majembe na kuwadharau polisi!?

Kwa nini wananchi walitaka kuwapiga watu wa majembe na kuwafokea polisi!?

Aiseeeeh, tujiheshimu sisi wenyewe na kuwaheshimu polisi!

Tusiwe watu wa kuangalia upande mmoja na kutumia chuki juu ya polisi na mamlaka mbalimbali.

Pia, tujiheshimu kwa kutii amri na mamlaka pasi shurti.

Binafsi, ningekuwa kiongozi wa huyo polisi ningempandisha cheo.
 
Malima naye ni mjinga aweziona mtu kashapandisha jazba kupitiliza pale angeweza pigwa risasi akafa kwa jambo ambalo angeweza epusha .police yule amepitiliza kiwango cha ujinga na nilishaona mauti kwa Malima yalishanikia siku nyingine asibishane na askari mwenye jazba hivyo ni hatari kwake
NDIO UELEWE JINSI HATA HUMO NDANI YA CCM WALIVYOCHOSHWA NA UBABE!!..WAPO TAYARI KUFA SIO KWA HILO TU!!!
 
Hawa maafande inabidi wapate elimu nzuri ya kushibisha vichwa.. Na hili zoezi la vyeti inabidi litiliwe mkazo kwa majeshi yetu ya ulinzi
 
Sasa je!!..Kama Kaamua kabisa kubishana na Polisi leo aliyeshika silaha unafikiri kesho atafanye!!
Kesho akimuona atajihami vizuri
Kisha akileta ubishi anafyatua "full version"
 
Niko na elimu nzuri, kubwa na hata ukitafuta watu kumi wenye vyeti safi na vyenye tija hapo Tanzania, nami nimo.

Zaidi ya hapo, tambua sipo hapo Tanzania niko nje na nimesoma nje elimu yangu takribani yote.

Ila daima naangalia jambo kwa upana, hekima na akili sana.

Hebu, jiulize mambo machache na madogo sana kama haya :

Kama , dereva asingeegesha gari mahala ambapo siyo sahihi Je, haya yangetokea!?

Kama alivyoelekezwa kwa nini awatukane majembe na kuwadharau polisi!?

Kwa nini wananchi walitaka kuwapiga watu wa majembe na kuwafokea polisi!?

Aiseeeeh, tujiheshimu sisi wenyewe na kuwaheshimu polisi!

Tusiwe watu wa kuangalia upande mmoja na kutumia chuki juu ya polisi na mamlaka mbalimbali.

Pia, tujiheshimu kwa kutii amri na mamlaka pasi shurti.

Binafsi, ningekuwa kiongozi wa huyo polisi ningempandisha cheo.
Unaweza kuwa umesoma na unaishi Visiwa vya Ngazija still utaji reffer kama umesoma na kuishi nje.
Ila hapo kwenye Potential Tanzanians,excuse us,kamdanganye mumeo na wanao
 
Hivi bangi imeruhusiwa kwa hawa "walinda usalama"? Sidhani kama haya ni matumizi mazuri ya silaha. Eti ana mkanda wa bendera.... So what? Nawalaumu wale jamaa ambao hawakuhakiki vyeti vya hawa vijana......!!!!! Si bure!!!! Eti ameapa.... Kama umeapa nenda Kibiti ukafanye doria!!!
Braza ...unataka wahakiki cheti cha huyu jamaa aje kitaa? nooooooo .....mtu anatumia SMG kwa mkono mmoja? ....kazi kazi isijehamia kitaa braza ....
 
Mim binafs huwa siwez kubinashana na watu wenye I.Q ndogo kama po.....li.....ci. eti mkanda unabendera ya taifa so then....!!!!! Kwani kama umeapa hutakufa???. Idiot

Wewe hadi hapo umeonesha una I Q ndogo Sana kwa kutukana wenzio na polisi.

Kwa sababu, mtu mwenye IQ kubwa huwa hatoi lugha isiyokuwa na staha kwa wengine.
 
Malima naye ni mjinga aweziona mtu kashapandisha jazba kupitiliza pale angeweza pigwa risasi akafa kwa jambo ambalo angeweza epusha .police yule amepitiliza kiwango cha ujinga na nilishaona mauti kwa Malima yalishanikia siku nyingine asibishane na askari mwenye jazba hivyo ni hatari kwake
Haihitaji akili ya kukaa darasani kujua ujinga wa Malima na hao waliokuwa pembeni wanachagiza maneno ya dharau kwa askari..body language ya malima dhahiri inaonyesha dharau..kwa mwenye akili na anayefahamu jukumu alilo nalo polisi na mazingira wanamofanyia kazi huwezi fanya vile malima alikuwa anaonyesha kwa polisi, tuwaheshimu askari wetu..hayo maneno maneno ya kujifanya kujua sheria ilihali sheria hawazijui bora kukaa kimya!
 
Unaweza kuwa umesoma na unaishi Visiwa vya Ngazija still utaji reffer kama umesoma na kuishi nje.
Ila hapo kwenye Potential Tanzanians,excuse us,kamdanganye mumeo na wanao

Ngazija, sijawahi kufika.

Ila hili jambo ni rahisi, sana tutii sheria bila shuruti na tujiheshimu na tuheshimu polisi nchi yetu itakuwa salama nasi tutaona mambo Safi.

Ila Kama, sisi ndiyo chanzo cha dharau na kutetea waharifu tegemea jamii kuwa na migogoro mingi.
 
Back
Top Bottom