valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Akienda kukabidhi silaha sijui atatoa justification gani kwa bosi wake juu ya matumizi ya hizo risasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akomae na nani wakati mwenzako yupo ndani muda huu? Amefunguliwa mashtaka kwa kosa la kumzuia askari asitimize wajibu wake (RB yake ipo).Hao Majembe, Yono and the like ni wasumbufu sana, wanasumbua sana wananchi, wanadai dau kubwa kama Mtu hana gari inapelekwa wanakojua mwananchi akisharekebisha Tra anapofata Gari Yake hapewi badala Yake anaambiwa alipe pesa chungu nzima eti kwaajili ya ulinzi, nakwambia iwe ni Kwa Masaa au Siku moja au mbili nakwambia atadaiwa hela nyingi kuzidi ule Mshahara anao lipwa mlinzi aliyeajiriwa kwenye kampuni ya ulinzi Kama vile ktk, night support, etc! Kwa hili la leo wamegusa pabaya huenda inaweza ku draw attention kubwa itakayopelekea wananchi kuondokana na kadhia ya hao jamaa! Komaa nao kaka Adam watie akili!
Na kwa taarifa yako maaskari wanajua kabisa kuwa kuna raia wana silaha na ndio maana hizo SMG zao wanaziweka tayari muda wote.Hata wanachi wanazo silaha, tusipo angalia itakuwa ni kuwahiana sasa! Polisi hapewi silaha ili atishie namna hiyo. Kuna situation ambapo hubidi kutumia. What I can see kuna hali ya mtafaruku kati ya raia na polisi.
Mambo ya mkuu wa msafara yuko wapi, sio kwa mazingira Yale, maana yake wahuni wao is ha wazunguka askari, who knows nani rafiki nani adui! Wangeendeleza debate wakati huo wa hatari watu wabaya wangeweza kuwadhuru askari, ye Malima angetii amri kwanza, then angeenda hapo Oysterbay police kuwaulizia hao wakuu wa msafara, lakini sio kwa ufinyu ule wa busara aliouonyesha pale, je askari angepanic zaidi akamshoot nani angepata faida?Kwahiyo mtu akikuuliza mkuu wa masafara yuko wapi ni dharau? Hivi nyie ni nani aliewashikia akili zenu? Au ndio jinsi mlivyozaliwa?
Polisi anapiga risasi hewani halafu unasema eti alidharauliwa.
Una elements za kigaidi.Halafu binafsi nachukia sana Askari Polisi kunyoa viduku kama rais kichaa wa North Korea!!! Ndevu hawafugi ila viduku shida sana (wanaonekana bangi bangi tu)
Kile kitendo cha kupiga risasi hewani ndo cha hatari sana jaman.ingeweza kumdhuru mtu pale tungekua tunaongea mengine.sawa yawezekana adam malima ana makosa lkn polisi kaaminiwa ndo maana kapewa silaha.hata ongea yake tu huyo polisi inaonekana hakuwa vizuri na ni mtu wa jazba,hafai kua askari naomba kama kuna kitengo cha kulima mbogamboga huko polisi apewe huyo askari manake ni hatari kumpa silaha.upuuzi kabisa uleKwahiyo mtu akikuuliza mkuu wa masafara yuko wapi ni dharau? Hivi nyie ni nani aliewashikia akili zenu? Au ndio jinsi mlivyozaliwa?
Polisi anapiga risasi hewani halafu unasema eti alidharauliwa.
Yaan kabisa zihesabiwe zile risasi alizopiga hewani alipieHata kama angetemewa mate usini huwezi piga risasi kijinga tena zihesabiwe hizo risasi akatwe kwenye mshahara wake kodi yangu haiwezi kutumika kupiga wananchi biti
Kwa haya mambo ya kipuuzi yanayotokea nchini Ni lazima sasa tutambue adui ya watanzania ni Nani? Mwalimu ningekuwa na uwezo ningeomba ufufuke ujionee nchi uliyoijenga mawaziri wastaafu wanavyotishiwa kwa risasi. Pole Malim. Pole Nape.Mkuu nimecheka na pia hii comment imenifikirisha....naona polisi wanapoelekea watawavunja miguu hadi JK na Ben Mkapa.
Ngoja tuone.
Kama mpaka tunappandika hapa huyo askari hajavuliwa uaskari ntashangaa sana.unapiga risasi hewani kutishia raia?wakati unalipwa mshahara kwa kodi zetu kulinda raia na mali zao.tunaomba fagio la vyeti feki lipite polisi na jeshini.na kuanzia sasa hivi polisi waajiriwe wenye diploma na degreeKavaa mkanda tu wenye bendera ya taifa kabwatuka kiasi kile, Siku akivaa ngao ya bibi na Bwana begani unafikiri itakuwaje?
Akamuulize Zombe maisha anayaonaje kwa sasa?
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima alikuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.
Na wale wa kibiti silaha zao zilikuwa full magazine na zilikuwa zipo on... teh tehNa kwa taarifa yako maaskari wanajua kabisa kuwa kuna raia wana silaha na ndio maana hizo SMG zao wanaziweka tayari muda wote.
Hata kwenye tukio hilo la Malima, huyo askari alijua kabisa kutakuwa na kuwaiana na ndio maana akafyatua za kwake ili kujihami na lolote.
Ndo mwishi wako wa kufikiri hapoNa wale wa kibiti silaha zao zilikuwa full magazine na zilikuwa zipo on... teh teh
Endeleeni kutengeneza matabaka kati yenu na raia mtavuna ya kibiti
Umeiona video mkuu?Kuna kosa lilitokea bare linalohusiana na matumizi mabaya ya barabara.Askari walijaribu kumchulia harua dereva ambaye alikuwa kwenye gari wananchi nao waliona na wakasogea karibu na kuanza kulalamika kwa maneno.Huyu Malima akiwa miongoni mwa RAIA nae kasogelea tukio mstari wa mbele kabisa huku wakionekana kuvuruga kazi ya askari
Mtazamo wangu n kuwa askari walikuwa sawa kwasababu kilichotokea kwa wingi ule wa watu na kilichokuwa kinazidi kuendelea ilikuwa n dharau kwa jeshi la polisi.
Ubaya wake upo wapi katawanya raia wabishiDuu hizi bunduki mbona zinatumika vibaya?
Mawazo ya kipuuuzi nimeanza kufahamu kwa nini raisi anasema sipangiwi ,maana akiwasikiliza ninyi roho zenu zimejaaa chuki na ushabiki usio kua na maana.Unafahamu ni sheria gani inampa mamlaka askari kutumia risasi za moto?? Au unabwabwaja tu.Askari anapotakiwa kuonyesha kitambulisho ni wajibu wake aonyeshe. Mavazi na virungu sio vielelezo kamili. Wanatakiwa wavivae kama wanafunzi wa jangwani au zanaki.
Askari anatakiwa aonyeshe kitambulisho instant anapotakiwa kufanya hivyo. Wapo wahalifu hutumia mwanya huyo.Mawazo ya kipuuuzi nimeanza kufahamu kwa nini raisi anasema sipangiwi ,maana akiwasikiliza ninyi roho zenu zimejaaa chuki na ushabiki usio kua na maana.Unafahamu ni sheria gani inampa mamlaka askari kutumia risasi za moto?? Au unabwabwaja tu.