Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Unachekesha kweli. Maandiko nayajua vizuri Sana adhabu ya wazinzi na wachawi ipo open sana.

Kasome tena Biblia au quran.
 
Masanja atakuja kuachana na huyo dada huko mbeleni.
Kwa sasa haiwezekani maana inaonekana alikuwa anamuambia kila kitu so dada anajua mambo mengi (plus majibu ya utata wa kifo cha katibu) yanayoweza kumuharibia.
Atamtafutia tu sababu huko mbeleni.
Yes ni suala la mda Tu. Ngoma ya watoto haikeshi.

Katibu kabaki ndani ya familia.
 
Kwani hakuna mada nyingine zaidi ya huyu dubwana au ndo yeye ameanzisha uzi..

Maana kila siku yeye Tumwchoka
Tatizo ni pale unapokuwq na mke/mchumba ukajiona wewe ndiye umepata kilichobora na kuanza kuona wenzako hawajapata kama hicho,na kuwalingishia,sasa linapotokea jambo kama hilo,lazima tu utasemwa sana,japo litapita ila utakuwa umeumia sana,mapenzi ni tofauti na chombo,labda gari,ukilinunua ukasema kuwa nchi hii ni mimi tu mwenye gari kama hili, na kweli watu hawajawahi kuliona sehemu nyingine haina shida,lakini mapenzi tena haya ya kiafrika?Na ndio maana watu maarufu wanaojielewa huwa hawataki kabisa kuweka mambo yao ya kifamilia hadharani!!
 
kweli kabisa. kuna wanaomdanganya masanja eti ndoa ni uvumilivu hakuna talaka kwa wakristo. Yesu Kristo alipinga talaka lakini alisema isipokuwa kwa uzinzi. Ikiwa watoto aliozaa monica amezaa na mwanaume mwingine akiwa ameolewa na masanja, ni uzinzi, masanja ampige chini wala asijidanganye, hana hukumu katika hilo. Na atakuja kujuta sana siku za usoni.

Unalalaje na mwanamke ambaye amezaa watoto na mwanamume mwingine? Yaani wakati masanja anaringa na visafari vyake vya marekani, inawezekana monica alikuwa bize na mwanaume mwingine kwenye kitanda chao. Na si ajabu si katibu tu, pengine yupo mwingine maana roho ya umalaya inapenda kuonja onja kila mahali
 
Wanaume tusimcheke masanja.mimi niliwahi kuhudumia mimba bandia miezi na miezi.
Kwa kuwa mwanamke mwenyewe sikumpenda nilipogundua nilishukuru tu Mungu.
Usiombe uzae na mwanamke usiyempenda utajuta
jiulize angekuwa mkeo wa ndoa ingekuwaje
 
Masanja atakuja kuachana na huyo dada huko mbeleni.
Kwa sasa haiwezekani maana inaonekana alikuwa anamuambia kila kitu so dada anajua mambo mengi (plus majibu ya utata wa kifo cha katibu) yanayoweza kumuharibia.
Atamtafutia tu sababu huko mbeleni.

Hawezi kumuacha bali atakachofanya ni kumpa sumu itakayomuua taratibu ,kitendo alichofanya monica ni aibu sana! Yaani jummanne muliro ndio alikuja kuharibu kwenye ile report yake ya awali kwasisi tuliosoma cuba tukasema "IMEISHA HIYO' baada ya Mke wa Masanja na mwanamke mtu mzima kwenda kwa Katibu kumwambia asimtongoze.
 
Unachekesha kweli. Maandiko nayajua vizuri Sana adhabu ya wazinzi na wachawi ipo open sana.

Kasome tena Biblia au quran.
Kwanini ukimbilie kuhukumu badala ya kusamehe?

Luka 17:4
[4]Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.
And if he trespass against thee seven times in a day, and seven times in a day turn again to thee, saying, I repent; thou shalt forgive him.
 

Unaumia kuzidi Masanja mwenyewe ashasema hamuachi mke wake
 
Masanja atakuja kuachana na huyo dada huko mbeleni.
Kwa sasa haiwezekani maana inaonekana alikuwa anamuambia kila kitu so dada anajua mambo mengi (plus majibu ya utata wa kifo cha katibu) yanayoweza kumuharibia.
Atamtafutia tu sababu huko mbeleni.
Atakuja kumuua kimafia kama alivyofanya kwa Katibu
 
Kama ni kweli kazalishwa watoto wawili haikuwa bahati mbaya alidhamiria,na inawezekana walikubaliana mke na mume Kwa sababu maalum.
 
Unaweza ukawa na nguvu za kiume halafu unatoa manii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…