The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
- Thread starter
- #41
Unachekesha kweli. Maandiko nayajua vizuri Sana adhabu ya wazinzi na wachawi ipo open sana.Kwa kugongewa mkewe, Masanja ana dhambi gani? Upendo unapimwa kwa uwezo wa kuvumilia na kusamehe.
Huenda wewe ni mpagani na hujui Biblia inasema nini.
1 Petro 4:8
[8]Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.
And above all things have fervent charity among yourselves: for charity shall cover the multitude of sins.
Kasome tena Biblia au quran.