Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Monica ana siri nyingi sana za uchungaji wake na safari zake za marekani za mara kwa mara. Akimuacha ni kama anajivua nguo
Umenena sembuse anaogopa Siri zake zitavuja ndio ameamua kukomaa n maimivu
 
Jamani, labda Nabii hana uwezo kuzalisaha ndio maana anakomaa na changu wake
 
Hivi hii issue ni kweli?? Unajua mm nikawa najua ni utani eti.

Kama ni kweli basi ni issue mbaya sana
We si unaona chapa ya Marehemu kabisa, unadhani Jamaa anaweza akakubali hata kuwapima DNA!! thubutu!!
 
Marehemu ndio kasema
 
Mkuu alinusaje,ebu tusimulie kidogo.Kama kutombewa kunauma hivyo je kuletewa mtoto asiye wako..duuu sipati picha maumivu yake
 
Mwanamke,mwanamke narudia Mwanamke siku sote ana zaa na yule aliyempenda kweli kweli huoni bibie katoa pacha wa katibu ubaya alijisahau kama yupo kwenye ndoa takatifu.
Mhhh mbona mie Mama yangu amezaa na Wanaume 4 tofauti,mie na Kaka yangu kila mmoja ana baba yake.Baba mwingine-watoto 2 na Baba mwingine watoto 3.
Sasa hapo alimpenda Baba yupi?? maana wote 4 alizaa nao.
 
Yaani umpangie cha kufanya.
Amwache mkewe ili wewe uridhike?
Huo ni uchawi
 
Masanja akomae tu na Monica wake.. asirudi nyuma japo ishakua ngumu kuliko
 
Masanja kwa huyo mwanamke amedandia mtumbwi wa vibwengo, Naona kila kona anakula spana tu.
Ni heri uibiwe aset yote ndani ya nyumba yako kuliko mtu kuiba mke wako ni doa lisilofutika ndani ya moyo wa mwanamme aliekamilika.
 
Amina.
 
Mhhh mbona mie Mama yangu amezaa na Wanaume 4 tofauti,mie na Kaka yangu kila mmoja ana baba yake.Baba mwingine-watoto 2 na Baba mwingine watoto 3.
Sasa hapo alimpenda Baba yupi?? maana wote 4 alizaa nao.
Wote aliwapenda mkuu
 
Ndoa ni ya Masanja ila wanahangaika wengine. Ugonjwa wa akili ni janga nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…