Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

ANGALIZO: MASANJA SIO MSUKUMA.

NI MTU WA MBEYA, RUJEWA, MBARALI, UBARUKU KWA WALIMA MPUNGA!.

MASANJA NI JINA LA MAIGIZO YEYE NI EMMANUEL MGAYA.

LINDENI HESHIMA YA WASUKUMA!.
Wabeja namhala 👏👏👏👏
 
Kuna mambo kadhaa ambayo ndo kweli kabisa na haipingwi!! Moja jamaa anaona kama aibu kuvunja ndoa kutokana italeta taswira mbaya hasa kwa dini yake ni process ndefu na yeye ni mchungaji.


Kingine jamaa tuna wasiwasi nae sio kwa kumpamba kule mkewe ilihali katibu ana msaidia kula mande,inawezekana jamaa ana matatizo na demu anamvumilia hakuna mtu anampost mkewe kama yeye kwamba yeye anampenda sana ila demu upendo hakuna huku nyuma katibu anakula ...
Labda ana kibamiya
 
Kajitahidi kuzuga ila ndani yake motooo unawakaaa... Kusema kuwa hata angekuta mkewe anatiwaa hapo anaangalia kama anammudu anaemtia au hammudu kama anammudu anadili nae kama hammudu anamchukua mkewe wanasepa ni kufake upendo kwa hali ya juuu na inaonesha amedili na katibu maana anammudu.
Na kwa maneno hayo ndipo uchunguzi utakopoanzia.
 
This was uncalled for.

Masanja anaita watu "wanangu" 🤣 akili kumkichwa mtu wangu 🤣 🤣 🤣
 
Kuna vitu ndani ya ndoa havivumiliki.Kimojawapo ni Uchepukaji.Mwanamke anayechepuka ni rahisi kurubuniwa na michepuko yake ili akudhuru wewe njia kuu. Masanja anachukulia poa ila ajiandae na yajayo
Or vise versa ....(lakini kama "amehusika")
 
Lakin kumbuka kuna mtu amejiua walitakiwa wakae kimya na kutoa pole kwa msiba angebalance sasa wanafurahi utafikiri kawaida tu wakati mtu kajiua kwaajili ya mkeo
Halafu kwa maneno haya "....naangalia je huyu jamaa nammudu..........." haya maneno amejikoki mwenyewe.
Bora angekaa kimya tu kwa sasa.
 
Roho Mtakatifu huweka Ulinzi kwa walio wake Bwana wetu Yesu Kristo

Itoshe tu kusema ukiona Mama Mchungaji ameanguka Kwenye dhambi ya uzinzi ujue Tatizo siyo mama mchungaji Bali ni mchungaji mwenyewe

Alhamis Ubarikiwe sana!
 
Video hiyo hapo
View attachment 2378508
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."

"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu wanachoongea, endelea kuamini katika ukweli ya kwamba tunachokwambia mke wangu mimi ni mke ambaye mnaishi naye hapa kanisani mnaelewa. Ni mke ambaye anajichanganya na ninyi, hatengenezi umbali kati yenu na sisi, na hili ni darasa nililifanya kwakwe."

"Anaongea na watu wote, anacheka na watu wote, hivyo ndivyo huyu mwanamke alivyo. Haiwezi kutokea tutengeneza mazingira ya kumfanya asiongee na watu."

"Natamani dunia ielewe leo kwa jinsi ninavyomuelewa huyu msichana, tuweke uchungaji na kanisa pembeni, nimkute uso kwa uso anapiga "gemu" na mtu, namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye."

"Sisi tumeoana hadi kitutenganishe kifo. Hakuna stori hapa kati kati, mchawi, pepo, jini cha kusambaratisha. Nataka nikukwambie mabaya yote yanayokuja mbele yetu hatushindi kwa akili, uweza na nguvu zetu, tunaye anayetupa kushinda, ndiyo maana nina uhakika wa kubaki na mke wangu mpaka siku ya unyakuo."
sio mwanaume huyu Wala MCHUNGAJI
Kwa ufupi Kuna jamaa la mtaani tu.

hata kama anampenda hivyo kulopoka namna hii ni ishara kuwa hazipo SAWA kichwani siku mwanamke shetani amuingilie ndo atajua hajui
 
Kwanini asipate nguvu na nyie wenyewe mnakiri kuwa Mungu anasamehe dhambi yoyote ile?

Kama ni mjasiri ataweza na siku si nyingi mtamsahau midomoni mwenu.

Halafu mnawapa kick bila kujua...watu wanapenda mambo ya kipuuzi kama haya utashangaa kanisa lake likafurika kama la mwamposa halafu mrudi hapa mseme alitoa kafara.
Na mimi nawaza anao huo ujasiri!!
 
Hakuna kitu kibaya kama maneno ya watu na hapo si kweli kama anavyoonekana kutojali ila deep in side anapitia kipindi kigumu kuliko chote iwe ni kweli aliliwa au hajaliwa,tayari maneno tuu yameshabadilisha mustakabali na peace of his or her mind. Mfano Jackline wolper alipoambiwa na Mange ananuka K hivi unafikiri hilo neno mpk leo limemtoka Jack?.kila akikumbuka lazima aumie iwe ni kweli au uongo. So nachotaka kusema ni hiki maneno yana distruct moyo wa mtu kuliko hata ugonjwa. Ngoja tuendelee kuona
Unaweza ukasahau changamoto nyengine nyingi tu, lakini hii yakuchapiwa na ni mke umpendae kwa dhati huwa haitoki moyoji. Huwa tunajitutumua tu ili kuituliza jamii.
 
Back
Top Bottom