Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Kuna vitu ndani ya ndoa havivumiliki.Kimojawapo ni Uchepukaji.Mwanamke anayechepuka ni rahisi kurubuniwa na michepuko yake ili akudhuru wewe njia kuu. Masanja anachukulia poa ila ajiandae na yajayo
Yajayo yanasikitisha.
 
Hakuna kitu kibaya kama maneno ya watu na hapo si kweli kama anavyoonekana kutojali ila deep in side anapitia kipindi kigumu kuliko chote iwe ni kweli aliliwa au hajaliwa,tayari maneno tuu yameshabadilisha mustakabali na peace of his or her mind. Mfano Jackline wolper alipoambiwa na Mange ananuka K hivi unafikiri hilo neno mpk leo limemtoka Jack?.kila akikumbuka lazima aumie iwe ni kweli au uongo. So nachotaka kusema ni hiki maneno yana distruct moyo wa mtu kuliko hata ugonjwa. Ngoja tuendelee kuona
Una busara sana mpendwa 👏👏🙏🏿
 
Kipi kingine kibaya zaidi kinaendelea kinawafanya wakubali hii aibu kuibeba.
Kwanini mke anakubali kubeba hii aibu?
Kwanini mume anakubali kujibebesha huu unaoitwa ubwege?

HAMSHTUKI TU?
Hapa kunaishu ,inawezekana masanja kammudu mbaya wake.
 
Kipi kingine kibaya zaidi kinaendelea kinawafanya wakubali hii aibu kuibeba.
Kwanini mke anakubali kubeba hii aibu?
Kwanini mume anakubali kujibebesha huu unaoitwa ubwege?

HAMSHTUKI TU?
Hapa kunaishu ,inawezekana masanja kammudu mbaya wake.
 
Hakuna mtu aliyetaka masanja amuache mkewe bali watu tunajiuliza ikiwa ni kweli huyu dada anaweza pata nguvu za kukemea zinaa madhabauni?
Kwanini asipate nguvu na nyie wenyewe mnakiri kuwa Mungu anasamehe dhambi yoyote ile?

Kama ni mjasiri ataweza na siku si nyingi mtamsahau midomoni mwenu.

Halafu mnawapa kick bila kujua...watu wanapenda mambo ya kipuuzi kama haya utashangaa kanisa lake likafurika kama la mwamposa halafu mrudi hapa mseme alitoa kafara.
 
Wambea wataweka wapi sura zao kina mwijaku asnte masanja Tena ungetakiwa kumpiga show nzuri kbsa ujaja Happ kanisani kutoa tamko rasm ,unaongea as if Kwamba ujamkandamiza huyo mwanamke vzr toka ulivyorud USA ,anaona anacheka cheka tu. Ukitoka ibadani nenda kamlipua Hadi hataje ukweli
Unahisi mwanamke anaridhika kwa show mkuu?? Pole sana

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom