ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Limbwata limemkolea huyu falasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yajayo yanasikitisha.Kuna vitu ndani ya ndoa havivumiliki.Kimojawapo ni Uchepukaji.Mwanamke anayechepuka ni rahisi kurubuniwa na michepuko yake ili akudhuru wewe njia kuu. Masanja anachukulia poa ila ajiandae na yajayo
Hakuna mtu aliyetaka masanja amuache mkewe bali watu tunajiuliza ikiwa ni kweli huyu dada anaweza pata nguvu za kukemea zinaa madhabauni?Hakika ametufunga midomo.
Nampongeza hakika
Anaitwa Emmanuel mgaya,ni mbena(mnyalu).Masanja ni majina ya kisukuma.... ni kabila gani?
Kweli ndio maana hata mke wa masanja hawajamshikilia.Ccm ndio wanapenda hv taifa kujadili mambo y watu kuliko mambo y nchi.
Nina video mkewe akichapwaTumeumbuka kiukweli
Kwa lipi sasa!?Huyu nimemkubali
Kila mtu anayo, tunajua ni fekeroNina video mkewe akichapwa
Kweli labda jamaa ni muuza sembe na mkewe anajua. Akijifanya kumwaga ugali mke anamwaga mbogaKinachokindwa hapa sio ndoa bali ni reputation, legacy na vyanzo vya pesa
Hamna bana sura ya mama mchungaji kabisaKila mtu anayo, tunajua ni fekero
Wivu tu umewajaa.Hamna bana sura ya mama mchungaji kabisa
Una busara sana mpendwa 👏👏🙏🏿Hakuna kitu kibaya kama maneno ya watu na hapo si kweli kama anavyoonekana kutojali ila deep in side anapitia kipindi kigumu kuliko chote iwe ni kweli aliliwa au hajaliwa,tayari maneno tuu yameshabadilisha mustakabali na peace of his or her mind. Mfano Jackline wolper alipoambiwa na Mange ananuka K hivi unafikiri hilo neno mpk leo limemtoka Jack?.kila akikumbuka lazima aumie iwe ni kweli au uongo. So nachotaka kusema ni hiki maneno yana distruct moyo wa mtu kuliko hata ugonjwa. Ngoja tuendelee kuona
Hapa kunaishu ,inawezekana masanja kammudu mbaya wake.Kipi kingine kibaya zaidi kinaendelea kinawafanya wakubali hii aibu kuibeba.
Kwanini mke anakubali kubeba hii aibu?
Kwanini mume anakubali kujibebesha huu unaoitwa ubwege?
HAMSHTUKI TU?
[emoji1433]ANGALIZO: MASANJA SIO MSUKUMA.
NI MTU WA MBEYA, RUJEWA, MBARALI, UBARUKU KWA WALIMA MPUNGA!.
MASANJA NI JINA LA MAIGIZO YEYE NI EMMANUEL MGAYA.
LINDENI HESHIMA YA WASUKUMA!.
Hapa kunaishu ,inawezekana masanja kammudu mbaya wake.Kipi kingine kibaya zaidi kinaendelea kinawafanya wakubali hii aibu kuibeba.
Kwanini mke anakubali kubeba hii aibu?
Kwanini mume anakubali kujibebesha huu unaoitwa ubwege?
HAMSHTUKI TU?
Mgaya. Huyu jamaa ni Mbena. Hakuna Msukuma boya hivi 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️hivi Mchungaji Massanja ni msukuma kwani
Kabisa best. Hapo ni kama kuwavuta wajuba wengine wamvie mkewe tenaShida ya Masanja anapenda sifa....
Angenyamaza tu....
Binadamu tumeumbiwa kusahau..
Kwanini asipate nguvu na nyie wenyewe mnakiri kuwa Mungu anasamehe dhambi yoyote ile?Hakuna mtu aliyetaka masanja amuache mkewe bali watu tunajiuliza ikiwa ni kweli huyu dada anaweza pata nguvu za kukemea zinaa madhabauni?
Unahisi mwanamke anaridhika kwa show mkuu?? Pole sanaWambea wataweka wapi sura zao kina mwijaku asnte masanja Tena ungetakiwa kumpiga show nzuri kbsa ujaja Happ kanisani kutoa tamko rasm ,unaongea as if Kwamba ujamkandamiza huyo mwanamke vzr toka ulivyorud USA ,anaona anacheka cheka tu. Ukitoka ibadani nenda kamlipua Hadi hataje ukweli