Hakuna kitu kibaya kama maneno ya watu na hapo si kweli kama anavyoonekana kutojali ila deep in side anapitia kipindi kigumu kuliko chote iwe ni kweli aliliwa au hajaliwa,tayari maneno tuu yameshabadilisha mustakabali na peace of his or her mind. Mfano Jackline wolper alipoambiwa na Mange ananuka K hivi unafikiri hilo neno mpk leo limemtoka Jack?.kila akikumbuka lazima aumie iwe ni kweli au uongo. So nachotaka kusema ni hiki maneno yana distruct moyo wa mtu kuliko hata ugonjwa. Ngoja tuendelee kuona