Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Video hiyo hapo
View attachment 2378508
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."

"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu wanachoongea, endelea kuamini katika ukweli ya kwamba tunachokwambia mke wangu mimi ni mke ambaye mnaishi naye hapa kanisani mnaelewa. Ni mke ambaye anajichanganya na ninyi, hatengenezi umbali kati yenu na sisi, na hili ni darasa nililifanya kwakwe."

"Anaongea na watu wote, anacheka na watu wote, hivyo ndivyo huyu mwanamke alivyo. Haiwezi kutokea tutengeneza mazingira ya kumfanya asiongee na watu."

"Natamani dunia ielewe leo kwa jinsi ninavyomuelewa huyu msichana, tuweke uchungaji na kanisa pembeni, nimkute uso kwa uso anapiga "gemu" na mtu, namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye."

"Sisi tumeoana hadi kitutenganishe kifo. Hakuna stori hapa kati kati, mchawi, pepo, jini cha kusambaratisha. Nataka nikukwambie mabaya yote yanayokuja mbele yetu hatushindi kwa akili, uweza na nguvu zetu, tunaye anayetupa kushinda, ndiyo maana nina uhakika wa kubaki na mke wangu mpaka siku ya unyakuo."
Kinachokindwa hapa sio ndoa bali ni reputation, legacy na vyanzo vya pesa
 
namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye.
 
Mbona mnakula makombo kila siku na mnakojoa hadi makamasi yanawatoka
Mbona mnakula makombo kila siku na mnakojoa
we mama hujaelewa kinacho.. tunajua madhaifu yenu mana hata kama bwanako anamihela kibawwo lkn kama hakutandiki vyema kunako utamdherewu tu ndicho alichokuwa akifanya huyu mcharuko wa masanja na wengi wenu mko hivyo hata wewe sema kweli hujapakuliwa kimyakimyaa?😎😄😄
hadi makamasi yanawatoka
 
Sasa umeshasema hatutandikwi vizuri, unataka tufe na nyege zetu kwa manufaa ya nani? Tandika vizuri mke wako, na akigongwa nje ni makosa yako.
 
Mbona mnakula makombo kila siku na mnakojoa hadi makamasi yanawatoka
hapa penye kutoana kamasi 💦💦💦🔥🔥aka utelezi ndipo penyewe haswaa yani bila kumwagiwa upako huwa hamtulii kabsaaaa
 
Basi haina makombo hiyo.
Labda tu kama umeoa bikra na una uhakika hagongwi nje.
Wengi wenu humu hamna tofauti na masanja na wengine ni mbaya zaidi wake zenu wanavyoliwa hovyo.
Just be humble na uombe Mungu yasikukute.
 
Sasa umeshasema hatutandikwi vizuri, unataka tufe na nyege zetu kwa manufaa ya nani? Tandika vizuri mke wako, na akigongwa nje ni makosa yako.
ewwaaaaa!! hili ndio jibu zur sana kwa msanii mchungaji. moyoni najua amefurahi sana kupotea kwa katibu fundi ya mukewe ila mke anaumia moyoni sana fimbo yake imekwenda👌💦🔥😄😄😎😎
 
Basi haina makombo hiyo.
Labda tu kama umeoa bikra na una uhakika hagongwi nje.
Wengi wenu humu hamna tofauti na masanja na wengine ni mbaya zaidi wake zenu wanavyoliwa hovyo.
Just be humble na uombe Mungu yasikukute.
sio mie hili ni lenu na vichechede vyenu vya kuvaa shanga shingomi n hereni 😎😂
 
ewwaaaaa!! hili ndio jibu zur sana kwa msanii mchungaji. moyoni najua amefurahi sana kupotea kwa katibu fundi ya mukewe ila mke anaumia moyoni sana fimbo yake imekwenda👌💦🔥😄😄😎😎
Kibinadamu ataumia mtu kafa. Lakini Fimbo zipo nyingi tena zinajirahisisha zenyewe, akitaka atavuta nyingine
 
Back
Top Bottom