Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Hongera sana.
Mwenyewe kifua mbele kuwa huchapiwi.
mimi kwa kweli sijui, kama kweli anafanya basi anajiweza na atakuwa ni jasusi lililokubuhu 😀, kwa sababu mimi mwenyewe hawezi kunihudumia ipasavyo, ukiachana na hilo ni mtu wa misimamo hasa linapokujaa suala ambalo litachafua taswira yake kwa (na) mwanae, siyo mlevi, hana mashoga, hana tamaa ya vitu wala hela n.k ndio maana hata mimi niki cheat akijua balaa lake siyo la kitoto, nilisharudishwa madhabahuni.
 
mimi kwa kweli sijui, kama kweli anafanya basi anajiweza na atakuwa ni jasusi lililokubuhu 😀, kwa sababu mimi mwenyewe hawezi kunihudumia ipasavyo, ukiachana na hilo ni mtu wa misimamo hasa linapokujaa suala ambalo litachafua taswira yake kwa (na) mwanae ndio maana hata mimi niki cheat akijua balaa lake siyo la kitoto, nilisharudishwa madhabahuni.
Basi ni kuwa wapole tu maana hatuyajui ya wenzetu, na ya kwetu pia sometimes hayaeleweki.
 
Kuna mambo kadhaa ambayo ndo kweli kabisa na haipingwi!! Moja jamaa anaona kama aibu kuvunja ndoa kutokana italeta taswira mbaya hasa kwa dini yake ni process ndefu na yeye ni mchungaji.

Kingine jamaa tuna wasiwasi nae sio kwa kumpamba kule mkewe ilihali katibu ana msaidia kula mande,inawezekana jamaa ana matatizo na demu anamvumilia hakuna mtu anampost mkewe kama yeye kwamba yeye anampenda sana ila demu upendo hakuna huku nyuma katibu anakula ...
 
Pole yao kwakweli.Wanapitia kipindi kigumu sana.Hali ya ksnisani jumapili ijayo,itakua na tofauti kubwa na hali ya jumapili nyingine.Litakavyomalizika ndivyo litakavyotoa muelekeo wa ndoa yao,nikimaanisha wale waliokua wanammendea na hata kumla mke wa Masanja,wako makini kuangalia kinachojiri kwa wawili hao(Yaani Masanja na mkewe).
Endapo suala litaisha kwa wao wanaommendea mke wa Masanja au kumla kabisa kwa kuona hakuna hatua siriasi iliyochukuliwa,watajiaminisha kua kumbe TUENDELEE TU na michakato ya kumla au kummendea,na endapo itakua SIRIASI,WATAJITOA kwenye mchakato wa kummendea au kumnyandua.Mwisho mwema.
 
huna lolote umegongewa na mwanamke huzini kutokea moyoni si kama wanaume ni physical contacts tu. Mwanamke, mke wa mtu tena mke wa eti mchungaji kisha unaongea upuuzi....

ingekuwa mkewe amebakwa ndipo angeongea upuuzi huu
Sa mbona umekasirika mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Pole yao kwakweli.Wanapitia kipindi kigumu sana.Hali ya ksnisani jumapili ijayo,itakua na tofauti kubwa na hali ya jumapili nyingine.Litakavyomalizika ndivyo litakavyotoa muelekeo wa ndoa yao,nikimaanisha wale waliokua wanammendea na hata kumla mke wa Masanja,wako makini kuangalia kinachojiri kwa wawili hao(Yaani Masanja na mkewe).
Endapo suala litaisha kwa wao wanaommendea mke wa Masanja au kumla kabisa kwa kuona hakuna hatua siriasi iliyochukuliwa,watajiaminisha kua kumbe TUENDELEE TU na michakato ya kumla au kummendea,na endapo itakua SIRIASI,WATAJITOA kwenye mchakato wa kummendea au kumnyandua.Mwisho mwema.
Kwamba analiwa na wengi? Acheni roho mbaya basi ya kukuza mambo
 
Wambea wataweka wapi sura zao kina mwijaku asnte masanja Tena ungetakiwa kumpiga show nzuri kbsa ujaja Happ kanisani kutoa tamko rasm ,unaongea as if Kwamba ujamkandamiza huyo mwanamke vzr toka ulivyorud USA ,anaona anacheka cheka tu. Ukitoka ibadani nenda kamlipua Hadi hataje ukweli
 
ANGALIZO: MASANJA SIO MSUKUMA.

NI MTU WA MBEYA, RUJEWA, MBARALI, UBARUKU KWA WALIMA MPUNGA!.

MASANJA NI JINA LA MAIGIZO YEYE NI EMMANUEL MGAYA.

LINDENI HESHIMA YA WASUKUMA!.
 
Wasukuma (mtanisamehe maana nimeishi nao ni wenzangu) huwa ni very very weak kwa wanawake especially akiwa mweupe humwambii lolote! Sishangai haya ya Masanja
Masanja sio msukuma.
Ona sasa matatizo ya kukariri jambo.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom