Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Kajitahidi kuzuga ila ndani yake motooo unawakaaa... Kusema kuwa hata angekuta mkewe anatiwaa hapo anaangalia kama anammudu anaemtia au hammudu kama anammudu anadili nae kama hammudu anamchukua mkewe wanasepa ni kufake upendo kwa hali ya juuu na inaonesha amedili na katibu maana anammudu.
 
Hakuna kitu kibaya kama maneno ya watu na hapo si kweli kama anavyoonekana kutojali ila deep in side anapitia kipindi kigumu kuliko chote iwe ni kweli aliliwa au hajaliwa,tayari maneno tuu yameshabadilisha mustakabali na peace of his or her mind. Mfano Jackline wolper alipoambiwa na Mange ananuka K hivi unafikiri hilo neno mpk leo limemtoka Jack?.kila akikumbuka lazima aumie iwe ni kweli au uongo. So nachotaka kusema ni hiki maneno yana distruct moyo wa mtu kuliko hata ugonjwa. Ngoja tuendelee kuona
 
Ni kweli unayosema lakini ni afadhali anajaribu kuwa positive na kutosikiliza watu wanataka achukue hatua gani. Ameenda against na matarajio ya wengi na hilo litamfanya apone haraka.
 
Yah nachojaribu kusema hapa ni kwamba anaumia. Ila njia alochukua ni sahihi kwani kutawafanya watu wanyamaze
 
Mama Mchungaji kemea dhambi, tumempoteza mtoto WA watu kisa kipochi manyoya cha Monica

Tuko kwenye dunia ya ajabu sana
Bila kuthibitisha yanayoongelewa inakua ngumu kidogo kutoa hukumu

Hata Yusufu mwana wa YAKOBO alituhumiwa kumbaka mke wa mtu kumbe uongo mtupu
 
Back
Top Bottom