Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Kwa ufupi anatuambia kwamba mkewe kacheat ila hamuachi hivi punde ili mambo yasimwendee kombo. Probably ashashauri waumini wake wengi tu kuvumiliana baada ya kuchapwa au kuchapiwa.

Ila wahubiri wana roho ngumu. Gwaji boy naye alikaza kuhusu clip na anadunda mpaka leo.
 
ANGALIZO: MASANJA SIO MSUKUMA.

NI MTU WA MBEYA, RUJEWA, MBARALI, UBARUKU KWA WALIMA MPUNGA!.

MASANJA NI JINA LA MAIGIZO YEYE NI EMMANUEL MGAYA.

LINDENI HESHIMA YA WASUKUMA!.
Then ameadapt hulka za wasukuma. All in all wasukuma na mwanamke mwepe usiseme . mahali yake huwa kubwa mara 10 kuliko mwanamke mweusi
 
Kuna mambo kadhaa ambayo ndo kweli kabisa na haipingwi!! Moja jamaa anaona kama aibu kuvunja ndoa kutokana italeta taswira mbaya hasa kwa dini yake ni process ndefu na yeye ni mchungaji.


Kingine jamaa tuna wasiwasi nae sio kwa kumpamba kule mkewe ilihali katibu ana msaidia kula mande,inawezekana jamaa ana matatizo na demu anamvumilia hakuna mtu anampost mkewe kama yeye kwamba yeye anampenda sana ila demu upendo hakuna huku nyuma katibu anakula ...
inawezekana kweli jamaa ana shida mahali mwanaume rijali aliye balanced hawezi kuwa anamtangaza mke namna hiyo au issue za uzazi jamaa ni shida, katibu ndiye aliyefanya kweli. sasa hayupo kuziba soo na madai ya matunda ya illicit relationship
 
Kujibu kila tuhuma ziwe za kweli au uongo ni ishara ya kutojiamini na kupenda attention.
Hiyo kuropoka ropoka ndio inamcost watu wanamchora

Kama mchungaji(anavyojiita) na mume angetafuta njia za busara zaidi kudeal na hiyo ishu since inahusu ndoa yake maana sisi nje huku tutaongea tu kujifurahisha ila kiuhalisia no one cares maana tuna shida zetu pia tukimaliza kupiga soga tunaendelea na yetu tunamsahau hadi tukiingia tena mtandaoni ndio tunamkumbuka.
 
inawezekana kweli jamaa ana shida mahali mwanaume rijali aliye balanced hawezi kuwa anamtangaza mke namna hiyo au issue za uzazi jamaa ni shida, katibu ndiye aliyefanya kweli. sasa hayupo kuziba soo na madai ya matunda ya illicit relationship
Akivunja ndoa hapo itakuwa aibu kubwa na hapo mwanamke ndo anaendesha mahusiano
 
Back
Top Bottom