Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

yaaani... nimeshindwa kumuelewa huyu dogo masanja yaani kachukulia poa kabissaa yaani yeye anawaza mcharuko wake tu amesahau kabisaa kuwa alikuwa anasaidiwa💦💦💦kunyoroshewa mcharuko wake pia hakuonyesha kabisa huzuni juu ya kifo cha katibu wake yaani kaishia .. "namuachaje mcharuko kama huyu kweli☹☹☹😎🙄🙄"
Hajatoa hata pole utafikiri hawamjui
 
Ya wanavyojichekesha utafikiri ni kitu cha furaha ,yule Katibu ana ndugu zake ana wazazi ana mke ,mnajichekesha kwenye camera na kuchamba juu
Inasikitisha sana, masanja sijui anaoata wapi nguvu ya kuingea kwenye oublic, even the wife, ningwkua mimi singetokea kwenye public at this very moment, angejipa muda kwanza
 
Wewe ndo unawaona vicheche lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda slut chicks mnajishaua tu hapa.
Huko mlipo wake zenu hawawezi tena mambo wapo wapo tu wameshakosa ladha au wamewachoka na hao vicheche ndo pona yenu.
afu hii hivi uliwaza nn...mana kama umejitoa vileee!! yaan haumo kundini😂😂😂
we c muke ya fulan?! akiona hii atasema kumbe nawe umejichokea mambo huyawezi etieee😃😃
 
Masanja haonekani kuguswa na kifo cha katibu, yupo busy kumsafisha monica.....kopa limejaa
umeonaeee yaani kwa ujinga ule wajuba waweza kumchukua wakakaa nae sehem wamhoji kulikoni mboni huonyeshi ushiřkiano kwenye msiba wa Katibu wako?
aweza jitetea kwamba bado alikuwa amawaza kama nkweli mcharuko wake ulikuwa unajirusha na msaidizi wake😎😃😃
 
Back
Top Bottom