Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert

Uungwana kama hutaki tena kitu ulichopewa na mtu mrudishie tu aliyekupa maana kuna wahitaji wengi sema yule kijana ana matatizo yupo kama mtoto wa kike na ni mtu wa kujisikia sikia hivi huenda maisha yake aliyokulia yalikuwa tia maji tia maji sasa analeta ulimbukeni wake.
 
Kalikataa sasa unafanyaje labda kwenye kulikataa alimwambia akalitie kiberiti
 
Hawa watu wana mungu wao wanaojuana naye.
Sisi tunaye Mungu mmoja aliye muumba wa yote
 
Dogo alikosea kulichoma moto lile gari. Kama aliona halimfai au limemletea nuksi, angemrudishia mhusika aliyempa, angeliuza, au na yeye angeligawa kwa mtu mwingine! Na siyo kulichoma moto. Ule siyo uungwana hata kidogo.
 
Tuchukulie kwamba lilirudishwa, mtu akakataa kulipokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…