Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert

Inategemea amepata ufunio Gani kwenye hiyo zawadi......kama amepata ufunuo wa mabaya sio viziri ampe mwingine hiyo gari ili yamkute huyo mabaya .
Usiyotaka kutendewa usimtendee mwenzio

Gozbert anaweza kuwa sahihi kbs
Tanzania ni Nchi masikini sio ya watu kuchoma kitu chochote chenye thamani watu wasipokua na imani ya kweli watafanya mambo ya ajabu sana na mtaona wapo sahihi..hata yeye ni masikini ndio maana alienda kuomba gari na pesa..
 
Ni kweli uliloongea! huwa mnasali sana kuliko sisi! 100%
 
Mbona hatoki mitaani na kuwapa nafuu ya maisha masikini wa hapo Arusha, yeye ni viongozi na watu maarufu tu!
 
If that's the case basi ni vigumu kuuelezea utendaji wa Mungu..
 
Masanja ni tapeli na mshirikina ,ni kundi moja na hao mitume na manabii fake ,kwahiyo yupo sahihi kulitaka gari maana linarudi kwenye himaya Yao ya matapeli wa kidini
 
Masanja ni tapeli na mshirikina ,ni kundi moja na hao mitume na manabii fake
Hilo kundi linamilikiwa na CCM na lilizinduliwa rasmi kipindi mkwere alipoingia madarakani...

Mzee wa upako ni katibu mkuu wa hilo kundi la washirikina na wanatumia majina ya utani kumtambulisha ushirikina wao..

... Ngurumo ya upako..

... Mzee wa upako..

... Mzee wa misukule.. Nk
 
Wapo wengi na wote ni Wana CCM
 
Huyu naye ni msanii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…