Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 387
- 421
Halafu ukihamaki watu wanakwambia usihukumu. Daah!!Usanii umehamia kwenye dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukihamaki watu wanakwambia usihukumu. Daah!!Usanii umehamia kwenye dini.
Kagame aliwakomeshaMtu akishasoma mistari miwili mitatu ya mtume Paulo ,anatafuta mabanzi na vitambaa vyekundu ,vyeupe, spika ya JBL ,mic mbili ,na suti ya mtumba ,anajiita mtume na nabii anafungua kanisa
Serikali ipo inakula nao
Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
View attachment 3184878
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuwa kitovu cha ibada na huduma za kiroho kwa jamii.
kila la heri kwa waumini wa kanisa lake.