Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza

Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza

Hela katoa wapi huyu dogo?

Kama hauzi unga atakuwa member wa secret society
 
Mtu akishasoma mistari miwili mitatu ya mtume Paulo ,anatafuta mabanzi na vitambaa vyekundu ,vyeupe, spika ya JBL ,mic mbili ,na suti ya mtumba ,anajiita mtume na nabii anafungua kanisa

Serikali ipo inakula nao
Kagame aliwakomesha
 
Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church.
View attachment 3184878
Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuwa kitovu cha ibada na huduma za kiroho kwa jamii.
kila la heri kwa waumini wa kanisa lake.
 
Back
Top Bottom