Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,438
Reaction score
4,053
Masanja mmoja ni sawa na Kitenge, Hando na Zembwela. Masanja kaziba pengo mpaka mwanya na kashawafunika, ze comedy show yote kahamishia pale unacheka mwanzo mwisho.

Big up Majizo kwa kuwa mvumbuzi wa vipaji acha kuwang'ang'ania hao wazee hawana jipya tena.

efmtanzania_1682327519187891.jpg
 
Vijana tupambaneee
Masanja - mwigizaji /comedian
Masanja - mfanya biashara - mchele etc
Masanja - mkulima - mpunga
Masanja - mchungaji wa mito ya baraka
Masanja - mtangazaji /mchambuzi wa habari
Masanja - etc

shughuli zote izo ni mifereji ya fedha kwake
 
Daah, very inspirational mshikaji anatupa somo kubwa vijana.
 
Wasafi na Efm wajifunze kwa clouds jinsi kipindi cha Ahsubui kilivyopangiliwa vizuri ...kina Masoud Kipanya Jinsi wanavyochambua Mambo vizuri.
Tatizo wakifanya hivyo mnawakosoa kwa kuwaita wameiga.

Na kuonekana wamekosa ubunifu, binadamu hamridhiki
 
Kweli wale jamaa wako vizuri sana, ila pia watu siku hizi wanapenda hii style mpya ya kusoma magazeti kwa mtindo wa commedy.
Hamna Mtu anapenda hayo mambo watu tunapenda uchambuzi wa kina
Na kumbuka vipindi vya Ahsubui usikilizwa na watu wanaofatilia Mambo ya ustawi wa nchi so Mambo ya commedy hayana impact that why clouds wanazidi kuonekana Bora kila siku Ahsubui ni Muda wa watu makini Kupata habari za kina za nchi na uchambuzi
 
ni muda wa corporate
 
Masanja mmoja ni sawa na Kitenge, Hando na Zembwela. Masanja kaziba pengo mpaka mwanya na kashawafunika, ze comedy show yote kahamishia pale unacheka mwanzo mwisho.

Big up Majizo kwa kuwa mvumbuzi wa vipaji acha kuwang'ang'ania hao wazee hawana jipya tena.

View attachment 2597990
kamisheni ya matangazo na bonasi ,ndo vinawaondoaga
 
Back
Top Bottom