Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

Kama majizo utapita kwenye huu uzi uyo dada veronica ndo anatakiwa alipwe zaid sijaona mwingine zaidi yake apo e fm ambae kipind chake kinasikilizwa zaidi
Yule dada kipindi chake huwa kama kipindi cha taifa kila unapopita utasikia watu wanakisikiliza.
 
time frame ya vipindi vya asubuhi si kwa kijana wakawaida, kila muda una msikilizaji wake.

Wasikilzaji wa vipindi vya asubuhi ,kuanzia saa 12 mpk saa tatu ni watu fulani(hata ads za muda huo ni za kampuni fulani hv, )
For real fo sure,
 
Vipindi vya Ahsubui sio Muda wa kufanya commedy ndo maana clouds wataendelea kubaki namba moja daima.
Kila kitu ni malengo, umefanya utafitu na kubaini namba kubwa ya wasikilizaji wa EFM ni kina nani? Hizo corparate time analysis nani anazielewa?
 
Kila kitu ni malengo, umefanya utafitu na kubaini namba kubwa ya wasikilizaji wa EFM ni kina nani? Hizo corparate time analysis nani anazielewa?
No research no right to speak, mimi mwenyewe sina hakika ila jamaa wamejitahidi kupindua meza na kupata wasikilizaji wengi sana katika hvo vpndi vya asbh
 
Kila kitu ni malengo, umefanya utafitu na kubaini namba kubwa ya wasikilizaji wa EFM ni kina nani? Hizo corparate time analysis nani anazielewa?
Clouds ndo radio ambayo ni most listen unaweza kuangalia online clouds Inasikilizwa na watu wengi tumia simu yako itakuonesha
 
Clouds ndo radio ambayo ni most listen unaweza kuangalia online clouds Inasikilizwa na watu wengi tumia simu yako itakuonesha
Inasikilizwa zaidi katika maeneo yepi?? Au unazungumzia overall listerners countrywide??

Kama unazungumzia hvo utakua unakosea kwa sababu clouds ni redio iliyofika sehemu nyingi kuliko wasafi na EFM so obviously itasikilizwa zaidi.

Kama kuna data za listerners of a specific place, zitakua accurate zaidi.
 
Clouds ndo radio ambayo ni most listen unaweza kuangalia online clouds Inasikilizwa na watu wengi tumia simu yako itakuonesha
Sihitaji kufanya comparison wasikilizaji wa Efm ndio lengo la Efm sio la clouds.... target ya Efm inahitaji utangazaji wa Efm hilo weka kichwani. So huwezi kuja na assumption kuihukumu Efm.
 
Karanga Mbichi packet 1 na Mo Energy 2 mtu anazimua asubuhi hii jasho linamtoka na kitaulo chake kiko begani, maisha so mchezo

Sijui nimpige picha
Burdaan, maisha ndo hayo
 
Vijana tupambaneee
Masanja - mwigizaji /comedian
Masanja - mfanya biashara - mchele etc
Masanja - mkulima - mpunga
Masanja - mchungaji wa mito ya baraka
Masanja - mtangazaji /mchambuzi wa habari
Masanja - etc

shughuli zote izo ni mifereji ya fedha kwake
Kuwa na akili.kijana.. unadhani masanja huwa anaenda marekani kuuza mchele?
 
Hapo kwa Masanja EFM wameingia chaka kama ilivyokuwa kwa Mpoki masihara mengi mpaka maana ya kipindi inapotea. Wanaongea ujinga mpaka aibu unaona wewe msikilizaji

Kidogo Wasafi FM kwenye kipindi chao cha asubuhi wana watu ambao tangu niwafahamu wakiwa radio stations nyingine wana uwezo na uzoefu wa kujenga hoja zenye mashiko na kuchambua kama
1. Orest Kawau
2. Gerald Hando
3. Charles William
4. David Rwenyagira
5. Salma Dacotha
6. Hata Zembwela sio mbaya

Huku burudani ikitolewa na Kitenge, Zembwela na Hando.
 
Inasikilizwa zaidi katika maeneo yepi?? Au unazungumzia overall listerners countrywide??

Kama unazungumzia hvo utakua unakosea kwa sababu clouds ni redio iliyofika sehemu nyingi kuliko wasafi na EFM so obviously itasikilizwa zaidi.

Kama kuna data za listerners of a specific place, zitakua accurate zaidi.
Radio zote ni Bora kutokana na sikio la msikilizaji .
 
Hii ni mada ya vijana wa Dar.
Hivyo viredio sijui EFM, Wasafi Fm mpaka kesho huwa najiuliza inakuwaje watu wa Dar mnapata muda wa kuvisikiliza wakati kutwa nzima vinatapika ugoro, umbeya na mizaha mitupu.
Sawa dada wa kipemba
 
Hakuna redio zinazosikilizwa zaidi kama wasafi ,Efm na clouds kwa sasa. Wamejitahidi kugusa kila rika huo ugoro unauona ndo unawafanya wapate matangazo mengi kuliko redio nyngne.
Ila Clouds matangazo yamezidi, kipindi cha saa 1 matangazo zaidi ya dakika 15-20
 
Back
Top Bottom